Angekua na kipato angeondoka nyumbani akizalia nyumban ataanza tu kusumbua watu hapoKuzalia nyumbani hakuna shida kama yeye anao uwezo(kipato) wa kulea mtoto wake.
Shida ni pale anapozaa halafu aanze kusumbua familia
Kwanini usimkaze ili hata akizalia nyumbani mtoto asiwe wa nje ya familia kuepusha hiyo aibu mnayoihofia?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Sio wale wa kula nauli za wajuba alafu hawatokeiNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Usimulazimishe, waowaji hawapo, hata akizalia hapo nyumbani sawa tu, usinyanyapae.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Kwa saivi nimeahirisha mpaka chaguzi zote zipite kukishakua na utulivu mwali anawekwa ndaniMpaji Mungu tembea na beat hapa familia ikupe jiko
Hii ni changamoto ya kiimani.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
ana chura? ana elimu gani?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Ndio nilikutana na ubavu wangu.Vipi sahivi umeolewa? Au nilete mahari
Mnyenz umeeleza vizuri sana mkuu. Big up!Rudi nyuma kidogo kwenye historia ya wazazi wenu.
Je walioana? Kama ndio angalia maza aliishije na faza? Kama maza ndio mwenye kauli ya mwisho kimaamuzi basi itachukua muda sana kwa dada ako kupata boya wa kumuoa.
Mabinti wengi huishi muda mwingi wa usichana wao wakipata attention nyingi mnooo kutoka kwa wanaume.
Unakuta binti akitoka nyumbani kwenda dukani tu, ameshatongozwa hata mara mbili, miluzi nayo Kama yoote(na kipindi hiki cha sosha network ndio imekua balaa, mara insta, mara fb huko Kote ni mitongozo na hai za kutosha)
Kwa bahati mbaya sana dada zetu wanapokutana na hali hizi hujisahau, hata wakitongozwa na wanaume siriaz wasio na vipato vinavyoeleweka huwakataa wakiamini kesho watatongozwa na wanaume bora/sahihi
Hapa ndio dada zetu huwa wanachemka coz muda wa wao kupewa attention huwa ni mfupi sana baada ya hapo kunakua na kizazi kipya na wao wanaanza kutolewa kwenye game kidogo kidogo, kuja kustuka, hakuna mwanaume wa maana maishani, inabidi ajirahisi >>> singo maza.
Men age like fine wines, bitchez ages like milk.
Kwa mwanaume huu mfumo ni vice versa coz mwanaume anapofikia 30,40 ndio anakua amejipata pata kidogo wengine wanakua wameshatoboa kabisa, sasa jiulize mwanaume kama huyu atakuja kwa dada ako?
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Aiseeeee!!! 🤣🤣🤣🤣🤣Anajishughulisha na nini ?? Waweza tuma picha yake pm ikiwa haina kichwa ..........
Mpigishe Ndoa ya mkeka atie akili!!Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mpigishe Ndoa ya mkeka atie akili!!Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nitumie namba yake nimuoeNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.