Rudi nyuma kidogo kwenye historia ya wazazi wenu.
Je walioana? Kama ndio angalia maza aliishije na faza? Kama maza ndio mwenye kauli ya mwisho kimaamuzi basi itachukua muda sana kwa dada ako kupata boya wa kumuoa.
Mabinti wengi huishi muda mwingi wa usichana wao wakipata attention nyingi mnooo kutoka kwa wanaume.
Unakuta binti akitoka nyumbani kwenda dukani tu, ameshatongozwa hata mara mbili, miluzi nayo Kama yoote(na kipindi hiki cha sosha network ndio imekua balaa, mara insta, mara fb huko Kote ni mitongozo na hai za kutosha)
Kwa bahati mbaya sana dada zetu wanapokutana na hali hizi hujisahau, hata wakitongozwa na wanaume siriaz wasio na vipato vinavyoeleweka huwakataa wakiamini kesho watatongozwa na wanaume bora/sahihi
Hapa ndio dada zetu huwa wanachemka coz muda wa wao kupewa attention huwa ni mfupi sana baada ya hapo kunakua na kizazi kipya na wao wanaanza kutolewa kwenye game kidogo kidogo, kuja kustuka, hakuna mwanaume wa maana maishani, inabidi ajirahisi >>> singo maza.
Men age like fine wines, bitchez ages like milk.
Kwa mwanaume huu mfumo ni vice versa coz mwanaume anapofikia 30,40 ndio anakua amejipata pata kidogo wengine wanakua wameshatoboa kabisa, sasa jiulize mwanaume kama huyu atakuja kwa dada ako?