Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Kuzalia nyumbani hakuna shida kama yeye anao uwezo(kipato) wa kulea mtoto wake.
Shida ni pale anapozaa halafu aanze kusumbua familia
Angekua na kipato angeondoka nyumbani akizalia nyumban ataanza tu kusumbua watu hapo
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Kwanini usimkaze ili hata akizalia nyumbani mtoto asiwe wa nje ya familia kuepusha hiyo aibu mnayoihofia?
 
With all due respect, sio kila mwanamke anakuwa na matatizo ila dada zetu wengi wakiwa kwenye prime yao aisee wanaringa saaaaaana, hiyo ni Moja ya sababu ambayo huwa inawatengenezea CV mbaya kwa baadae.

Kuna wakati kabla ya kusubiri familia kuanza kulalamika, familia pia zihusike kwenye kuwaweka sawa kwenye hiyo misingi tangu wakiwa wadogo. Kuna wakati wanaachiwa mizigo wenyewe na tunasubiri waharibu ndipo tuje kuwalaumu.

Dada zetu nao wasijisahau sana kwenye utandawazi japo sina imani Kama kila mwanamke anataka kuolewa, mnaweza kuwa mnahangaika halafu mhusika hana hata muda.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Usimulazimishe, waowaji hawapo, hata akizalia hapo nyumbani sawa tu, usinyanyapae.
 
Attachments

  • VID-20241011-WA0064.mp4
    8.3 MB
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Hii ni changamoto ya kiimani.

Kuamini kwamba mwanamke ni lazima aolewe, siyo sawa.

Badala ya kumlengeshea mwanaume, mlengeshee biashara.

Mtafutieni mtaji, apate kipato chake ajitegemee.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
ana chura? ana elimu gani?
 
Rudi nyuma kidogo kwenye historia ya wazazi wenu.

Je walioana? Kama ndio angalia maza aliishije na faza? Kama maza ndio mwenye kauli ya mwisho kimaamuzi basi itachukua muda sana kwa dada ako kupata boya wa kumuoa.

Mabinti wengi huishi muda mwingi wa usichana wao wakipata attention nyingi mnooo kutoka kwa wanaume.

Unakuta binti akitoka nyumbani kwenda dukani tu, ameshatongozwa hata mara mbili, miluzi nayo Kama yoote(na kipindi hiki cha sosha network ndio imekua balaa, mara insta, mara fb huko Kote ni mitongozo na hai za kutosha)

Kwa bahati mbaya sana dada zetu wanapokutana na hali hizi hujisahau, hata wakitongozwa na wanaume siriaz wasio na vipato vinavyoeleweka huwakataa wakiamini kesho watatongozwa na wanaume bora/sahihi

Hapa ndio dada zetu huwa wanachemka coz muda wa wao kupewa attention huwa ni mfupi sana baada ya hapo kunakua na kizazi kipya na wao wanaanza kutolewa kwenye game kidogo kidogo, kuja kustuka, hakuna mwanaume wa maana maishani, inabidi ajirahisi >>> singo maza.

Men age like fine wines, bitchez ages like milk.

Kwa mwanaume huu mfumo ni vice versa coz mwanaume anapofikia 30,40 ndio anakua amejipata pata kidogo wengine wanakua wameshatoboa kabisa, sasa jiulize mwanaume kama huyu atakuja kwa dada ako?
Mnyenz umeeleza vizuri sana mkuu. Big up!

HIvi attention anayopata mwanamke kutoka kwa wanaume huwa inaanza ku-drop mwanamke akishafika kuanzia umri upi? yaani akishafika umri huo ndio aproach aproach zinaanza kupungua, mawazo kama yote!
 
Ni kweli kuoa/kuolewa ni TENDO TAKATiFU na la heshima kwa Wazee na familia kwa ujumla, LAKINI sio sawa kutaka kufanya hicho unachotaka kufanya.

Tendeni haya
1.Kwanza futa mawazo kwamba sister amechelewa kuolewa, miaka 26 bado kabisa..nimeshuhudia wadada wakiolewa na miaka 35-37

2.Mtafutie kazi halali ya kufanya..kazi huleta heshima

3.Aongeze maombi kwa Mungu

4.Awe ni mtu anayejiheshimu na kuvaa kwa staha
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.

akishamuoa then baadae arud nyumba na mimba au watoto sababu Wameshindwana.. nyie ndo mnaochangia kutuletea watoto wa mitaan au waliokosa malez bora ya wazazi sababu ya kufanya ndoa kama vile ni kwa takwa la kikatiba l... kama mko serious na hilo basi mna mawazo mgando.

Au unafikiri kuoa au kuolewa kunaishia kwenye sherehe tu..
I feel sorry for her to have such a narrow-minded family.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mpigishe Ndoa ya mkeka atie akili!!
 
Nitumie namba yake nimuoe
 
Back
Top Bottom