Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote ni imara, madhubuti na wa uhakika wakati wote na katika kila kona ya taifa letu.
Na hicho ndicho kimekua kipaumbele muhimu zaidi cha Rais wetu kipenzi, ukiachilia mbali kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii inayoendelea kufanyika, kupitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la 2025.

Kama taifa,
tuna kila sababu ya kumuombea kiongozi wetu huyu mzalendo, na kuunga mkono dhamira yake njema na jitihada kubwa na za makusudi anazichukua katika kuchochea na kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali anayoiongoza na kuleta tija ya maendeleo katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa waTanzania wote.πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Wa toto haram utawajua tu

Huyu kapiga yule kapiga matokeo yake mtoto hajui baba ake halisi
 

Naona ushaanza kupata furaha.

Ngoja Nikukumbushe kuwa kipenz chako Nchimbi sio MwanaCCM na as long as Samia yuko, hawezi kurudi CCM.

Vipi? Raisi wako 2030 ni nani? .
 
Jizi na lipenda rushwa linachangia bila aibu
 
Hapo hujaja kama Mwashambwa.
Tunasubiri ukiswtch tuone utakuja vipi ?.
 
🌈 naona umevurugwa hujui usihike lipi kati ya Nchimbi na muuaji Samia.
 
🌈 naona umevurugwa hujui usihike lipi kati ya Nchimbi na muuaji Samia.
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman bila kuweweseka na itapendeza zaidi πŸ’
 
Kwani nchimbi kafanya kosa gani?
 
Msalimie X vice president nchimbi πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…