steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,663
- 13,983
Teh teh teheeeeeeee
Teh teh teheeeeeeee
Mkuuhii haihusiani na hoja mahususi mezani, right gentleman?🐒
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote ni imara, madhubuti na wa uhakika wakati wote na katika kila kona ya taifa letu.
Na hicho ndicho kimekua kipaumbele muhimu zaidi cha Rais wetu kipenzi, ukiachilia mbali kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii inayoendelea kufanyika, kupitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la 2025.
Kama taifa,
tuna kila sababu ya kumuombea kiongozi wetu huyu mzalendo, na kuunga mkono dhamira yake njema na jitihada kubwa na za makusudi anazichukua katika kuchochea na kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali anayoiongoza na kuleta tija ya maendeleo katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Hatua hizo ni pamoja na kuamuru mauji ya halaiki nchi nzima 29/10?Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote ni imara, madhubuti na wa uhakika wakati wote na katika kila kona ya taifa letu.
Na hicho ndicho kimekua kipaumbele muhimu zaidi cha Rais wetu kipenzi, ukiachilia mbali kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii inayoendelea kufanyika, kupitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la 2025.
Kama taifa,
tuna kila sababu ya kumuombea kiongozi wetu huyu mzalendo, na kuunga mkono dhamira yake njema na jitihada kubwa na za makusudi anazichukua katika kuchochea na kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali anayoiongoza na kuleta tija ya maendeleo katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
na kwakweli hatua za makusudi za rais katika kuimarisha utawala wa sheria wa nchi yetu, umeendelea kua neema na fursa muhimu sana ya uhuru wa kutoa maoni kwa wananchi wote regardless ya mihemko, chuki au stress za maisha zinazowazonga wavivu na wenye wivu na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan.View attachment 3661221View attachment 3661222
Dogo mtafuta fursa umekubali matokeo na kuhamia timu ya Zenji, ule msemo wa 'if you can't win them just join them' umeutendea haki.

Yes,

hiyo ni porojo useless na isiyo na mashiko gentleman,Hatua hizo ni pamoja na kuamuru mauji ya halaiki nchi nzima 29/10?
Mwambie Gerson akufundishe cha kuandika sio utumbo huu unaojaza severs.

🐒na kwakweli hatua za makusudi za rais katika kuimarisha utawala wa sheria wa nchi yetu, umeendelea kua neema na fursa muhimu sana ya uhuru wa kutoa maoni kwa wananchi wote regardless ya mihemko, chuki au stress za maisha zinazowazonga wavivu na wenye wivu na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan.![]()
UNAGONGWA NA WACHAWI WEWE *****Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote ni imara, madhubuti na wa uhakika wakati wote na katika kila kona ya taifa letu.
Na hicho ndicho kimekua kipaumbele muhimu zaidi cha Rais wetu kipenzi, ukiachilia mbali kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii inayoendelea kufanyika, kupitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la 2025.
Kama taifa,
tuna kila sababu ya kumuombea kiongozi wetu huyu mzalendo, na kuunga mkono dhamira yake njema na jitihada kubwa na za makusudi anazichukua katika kuchochea na kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali anayoiongoza na kuleta tija ya maendeleo katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Yes,🐒
You're such an ass-hole, at least you've made me laugh.
Chawa kama chawa katika moja na mbili.

Gentleman,Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa huruma au maamuzi magumu ya mtu mmoja. Tunahitaji katiba mpya na mifumo huru itakayolinda nchi hata akiondoka madarakani huyo bibi yako.

acha upotoshaji gentleman,Gentleman kachanganyikiwa sasa, anaandika kwa uwoga to save his own life😁

Nchimbi kapewa kesi ya uhaini, vipi anyongwe kama ulivyotaka kwa Lisu, uliandika mpaka uzi Lisu anyongwe kwa uhaini 😁Gentleman,
taifa letu linaongozwa na wanandamu kwa kufuata misingi ya kikatiba na ndio maana hakuna haja ya kumuonea huruma, aibu wala haya mkiuka sheria yoyote humu nchini.
na rais wetu Dr.Samia Suluhu Hassan analidhihirisha hilo kwa maneno na matendo anapotumia sheria kuimarisha utendaji wa serikali sikivu ya ccm, na ndio maana nchi yetu ni tulivu na ya amani sana pengine kuliko kipindi kingine chochote tangu tupate uhuru wa taifa letu.![]()
Huku kwema mkuu sijakuona nikasema ndugu yangu kapotelea wapi.nashukuru nipo salama gentleman,
mambo niaje pande izo?![]()