Umenisahau sana Ndugu yangushukrani sana gentleman 🐒
Mavi matupu hamna Cha hatua Wala niniSidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote ni imara, madhubuti na wa uhakika wakati wote na katika kila kona ya taifa letu.
Na hicho ndicho kimekua kipaumbele muhimu zaidi cha Rais wetu kipenzi, ukiachilia mbali kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii inayoendelea kufanyika, kupitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la 2025.
Kama taifa,
tuna kila sababu ya kumuombea kiongozi wetu huyu mzalendo, na kuunga mkono dhamira yake njema na jitihada kubwa na za makusudi anazichukua katika kuchochea na kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali anayoiongoza na kuleta tija ya maendeleo katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Ulisema utanicheck mkuu 0656351446 Tlaatlaahkiaje gentleman?![]()
Gentleman,Naona ushaanza kupata furaha.
Ngoja Nikukumbushe kuwa kipenz chako Nchimbi sio MwanaCCM na as long as Samia yuko, hawezi kurudi CCM.
Vipi? Raisi wako 2030 ni nani? .

Mimi nakuuliza wewe kama licccmhilo labda ungeandikia uzi mahususi jukwaani gentleman na ingependeza zaidi![]()
yuko wapi Nchimbi?ni vizuri kueleza mambo yanayohusu hoja mahususi mezani gentleman bila kujaribu kuhamisha mjadala na itapendeza zaidi![]()
Kwahiyo nchimbi ambae ni mgombea wako 2030 kupotea sio suala la msingi?Gentleman,
nadhani ni muhimu zaidi mambo binafsi yakaelekezwa kwa wahusika wenyewe,
wajibu wangu JF ni kueleza mambo ya ukweli kwenye mambo ya msingi tu![]()
Mimi sitaki kuandika uzi wakati mtu wakunijibu nimekupata hapaandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman![]()
Cc: Lucas MwashambwaSidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha kwamba umoja, amani na usalama wa waTanzania wote ni imara, madhubuti na wa uhakika wakati wote na katika kila kona ya taifa letu.
Na hicho ndicho kimekua kipaumbele muhimu zaidi cha Rais wetu kipenzi, ukiachilia mbali kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii inayoendelea kufanyika, kupitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la 2025.
Kama taifa,
tuna kila sababu ya kumuombea kiongozi wetu huyu mzalendo, na kuunga mkono dhamira yake njema na jitihada kubwa na za makusudi anazichukua katika kuchochea na kuongeza ufanisi katika utendaji wa serikali anayoiongoza na kuleta tija ya maendeleo katika maisha ya kijamii, kisiasa na kiuchumi miongoni mwa waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Je unaona ni sahihi alichofanyiwa Nchimbi?ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman,
nina majibu yote dhidi ya hoja iliyoko mezani na si vinginevyo![]()