Dogo mtafuta fursa umekubali matokeo na kuhamia timu ya Zenji, ule msemo wa 'if you can't win them just join them' umeutendea haki.
 
Hatua hizo ni pamoja na kuamuru mauji ya halaiki nchi nzima 29/10?
Mwambie Gerson akufundishe cha kuandika sio utumbo huu unaojaza severs.
 
View attachment 3661221View attachment 3661222
Dogo mtafuta fursa umekubali matokeo na kuhamia timu ya Zenji, ule msemo wa 'if you can't win them just join them' umeutendea haki.
na kwakweli hatua za makusudi za rais katika kuimarisha utawala wa sheria wa nchi yetu, umeendelea kua neema na fursa muhimu sana ya uhuru wa kutoa maoni kwa wananchi wote regardless ya mihemko, chuki au stress za maisha zinazowazonga wavivu na wenye wivu na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan.
 
Hatua hizo ni pamoja na kuamuru mauji ya halaiki nchi nzima 29/10?
Mwambie Gerson akufundishe cha kuandika sio utumbo huu unaojaza severs.
hiyo ni porojo useless na isiyo na mashiko gentleman,
tafuata public sympathy kwa namana nyingine na itapendeza zaidi
 
πŸ’
You're such an ass-hole, at least you've made me laugh.
Chawa kama chawa katika moja na mbili.
 
UNAGONGWA NA WACHAWI WEWE *****
 
πŸ’
You're such an ass-hole, at least you've made me laugh.
Chawa kama chawa katika moja na mbili.
Yes,
you are free to laugh gentleman,
our beautiful country is very peaceful, kulikoni ununue aise?

just enjoy maelezo ya kweli kwenye mambo ya msingi tu kuhusu taifa letu na viongozi wake wote
 
Nchi haitakiwi kuendeshwa kwa huruma au maamuzi magumu ya mtu mmoja. Tunahitaji katiba mpya na mifumo huru itakayolinda nchi hata akiondoka madarakani huyo bibi yako.
Gentleman,
taifa letu linaongozwa na wanandamu kwa kufuata misingi ya kikatiba na ndio maana hakuna haja ya kumuonea huruma, aibu wala haya mkiuka sheria yoyote humu nchini.

na rais wetu Dr.Samia Suluhu Hassan analidhihirisha hilo kwa maneno na matendo anapotumia sheria kuimarisha utendaji wa serikali sikivu ya ccm, na ndio maana nchi yetu ni tulivu na ya amani sana pengine kuliko kipindi kingine chochote tangu tupate uhuru wa taifa letu.
 
Gentleman kachanganyikiwa sasa, anaandika kwa uwoga to save his own life😁
acha upotoshaji gentleman,
jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi.

halafu,
nchi yetu ni huru na ya amani sana,
kulikoni uishi kwa uoga aise? hayo si mateso ya kujitakia kabisa?
 
Nchimbi kapewa kesi ya uhaini, vipi anyongwe kama ulivyotaka kwa Lisu, uliandika mpaka uzi Lisu anyongwe kwa uhaini 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…