Mavi matupu hamna Cha hatua Wala nini
 
Naona ushaanza kupata furaha.

Ngoja Nikukumbushe kuwa kipenz chako Nchimbi sio MwanaCCM na as long as Samia yuko, hawezi kurudi CCM.

Vipi? Raisi wako 2030 ni nani? .
Gentleman,
jikite kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaid,
don't be confused with political dynamics which are normal issues in politics
 
Gentleman,
nadhani ni muhimu zaidi mambo binafsi yakaelekezwa kwa wahusika wenyewe,
wajibu wangu JF ni kueleza mambo ya ukweli kwenye mambo ya msingi tu
Kwahiyo nchimbi ambae ni mgombea wako 2030 kupotea sio suala la msingi?
 
Mimi sitaki kuandika uzi wakati mtu wakunijibu nimekupata hapa
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman,

nina majibu yote dhidi ya hoja iliyoko mezani na si vinginevyo
 
Cc: Lucas Mwashambwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…