Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

Kuna post nimeisoma usk huu ya lema God bless,alikua anajaribu kuandika alichoambiwa juu ya Ulomi. ILe post wakati naisoma ilikua na dk 4 Toka ameipost, ajabu nataka niifungue niendelee kusoma para za chini naona imefutwa ghafla. Na Yale niliyobahatika kusoma inaonesha jamaa alitoka upolisi akahamishiwa kitengo...badae sijui opareshen zao zikawaje jamaa sijui akaropoka kwa wazee wake vitu flan flan sa nikashindwa endelea maana ilifutwa chap. Inaonesha Kuna taarifa alivujisha hawakupenda waka mu eliminate. Hapa naona Kuna story za aliacha upolisi, sijui nilipotezana nae nikaja kumpata akaniambia Yuko USA anasoma🤔.hii week tutasikia mengi kuhusu Ulomi.
Si mchezo
 
Terminator Mimi sitishiki.
bodaboda kama kawa mnajipanga mstari kuvuka mataa yaliyorihusu magar yapite, halafu nyinyi kwa kuvuja sheria mnalazimisha kukatiza barabara dah 🤣

dah inasikitisha sana aise ndio maana vifo vinakua vya ajabu sana na mwanasiasa moja wa Kaskazini aliwahi kusema kazi ya boda ni laana tupu 🐒
 
Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la polisi Tanzania.

N.B; Nilikutana na Daisle Simon Ulomi at Tumaini university Dar es Salaam College(Tudarco).
He was a good brother, sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Pumzika kwa amani kamanda DView attachment 3178324
Hii nchi kuna mambo bora usiyajue manake moyo unaweza kusimama
 
bodaboda kama kawa mnajipanga mstari kuvuka mataa yaliyorihusu magar yapite, halafu nyinyi kwa kuvuja sheria mnalazimisha kukatiza barabara dah 🤣

dah inasikitisha sana aise ndio maana vifo vinakua vya ajabu sana na mwanasiasa moja wa Kaskazini aliwahi kusema kazi ya boda ni laana tupu 🐒
Katika kitu nilichojifunza bongo ¾ ya madereva hawajui au wana uwelewa mdogo wa sheria za barabarani
 
Back
Top Bottom