Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Je kama ni camouflage?
hizo ni porojo na story za waombolezaji kupoteza muda msibani , na ni kawaida tu 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Je kama ni camouflage?
ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra kwenye mambo haya ya huzuni sana 🐒Nakuelewa chawa. tuna uwezo tofauti humu wa kusoma katikati ya mistari..Kila la kheri
Huu ndo ukweliKuwatetea polisi na single maza ni kazi ngumu sana kwa sasa.
Si mchezoKuna post nimeisoma usk huu ya lema God bless,alikua anajaribu kuandika alichoambiwa juu ya Ulomi. ILe post wakati naisoma ilikua na dk 4 Toka ameipost, ajabu nataka niifungue niendelee kusoma para za chini naona imefutwa ghafla. Na Yale niliyobahatika kusoma inaonesha jamaa alitoka upolisi akahamishiwa kitengo...badae sijui opareshen zao zikawaje jamaa sijui akaropoka kwa wazee wake vitu flan flan sa nikashindwa endelea maana ilifutwa chap. Inaonesha Kuna taarifa alivujisha hawakupenda waka mu eliminate. Hapa naona Kuna story za aliacha upolisi, sijui nilipotezana nae nikaja kumpata akaniambia Yuko USA anasoma🤔.hii week tutasikia mengi kuhusu Ulomi.
We Mafwele wewe Acha siasa.Ni muhimu sana kuwa waangalifu barabarani, Lakini ni muhimu zaidi kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa nyakati hizi kuelekea sherehe za Christmas na mwaka mpya 2025🐒
na wewe kabla ya kuanza misele na ile boda boda yako, toa kwanza loki na kisungura kimoja kizima, ili ukifika mataa ya barabarani kwa mfano pale ubungo, usiogope yale masemitela wala mabasi ya mikoani, wewe ni kupeleka moto ili hatimae tuoene itakavyokua na tukusahau 🐒We Mafwele wewe Acha siasa.
Terminator Mimi sitishiki.na wewe kabla ya kuanza misele na ile boda boda yako, toa kwanza loki na kisungura kimoja kizima, ili ukifika mataa ya barabarani kwa mfano pale ubungo, usiogope yale masemitela wala mabasi ya mikoani, wewe ni kupeleka moto ili hatimae tuoene itakavyokua na tukusahau 🐒
Sasa single maza wameingiaje hapa mkuuKuwatetea polisi na single maza ni kazi ngumu sana kwa sasa.
bodaboda kama kawa mnajipanga mstari kuvuka mataa yaliyorihusu magar yapite, halafu nyinyi kwa kuvuja sheria mnalazimisha kukatiza barabara dah 🤣Terminator Mimi sitishiki.
Alipata ajali gani?ajali ni kitu mbaya sana ambayo aichagui ulikua nani wapi.
ni muhimu kua waangalifu na kuzingatia sheria za usalama barabarani.
R.I.P Ulomi, ghafla imebaki stori tu dah!
Hii nchi kuna mambo bora usiyajue manake moyo unaweza kusimamaHili nina uhakika nalo kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la polisi Tanzania.
N.B; Nilikutana na Daisle Simon Ulomi at Tumaini university Dar es Salaam College(Tudarco).
He was a good brother, sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Pumzika kwa amani kamanda DView attachment 3178324
Zamani walitegemea sana nguvu giza sasa ni kwa mkono wa mtuKWa sisi tunaoelewa, hata ukiwa huwapendi ccm, usitupe kadi yao. Na ukiweza jidai uko nao karibu.
Wakikuhisi tu kwamba huwapendi, huamki.
Eti kuna watu wanaogopa shetani hata hawamfahamu, wa kuogopwa ni ccm.Zamani walitegemea sana nguvu giza sasa ni kwa mkono wa mtu
Katika kitu nilichojifunza bongo ¾ ya madereva hawajui au wana uwelewa mdogo wa sheria za barabaranibodaboda kama kawa mnajipanga mstari kuvuka mataa yaliyorihusu magar yapite, halafu nyinyi kwa kuvuja sheria mnalazimisha kukatiza barabara dah 🤣
dah inasikitisha sana aise ndio maana vifo vinakua vya ajabu sana na mwanasiasa moja wa Kaskazini aliwahi kusema kazi ya boda ni laana tupu 🐒