Daktari bingwa wa Watoto Kibosho, ajiua Kisa Msongo wa Mawazo

We jamaa una dharau sana.....nimeshakwambia. Ulianza na kwa sisi Waalimu umehamia kwa Waganga wetu
Sasa unabisha Nini ukitaka kujua wewe ni mwalimu nenda Tanganyika international school kama watakupa hata kufundisha kweny junior campus Yao

Ukiumwa mnaenda kufia India au London huko halaf unaleta ubishi wenye ushahidi wa wazi

NB: mm mwenyw mwalimu lkn sio mtaaluma ni mjuaji tu
 
Mimi nikajua wachaga wameelimika na wengi wameachana na mila za imani potofu kumbe mambo ya African chemistry bado wapo nayo.

Ah , we hawa wa mjini wenye biashara kubwa wote Washirikina Kaka, nani kakuambia Elimu inaondoa ushirikina?
 
Kijana ungekuwa hauna silka ya ubishi. Ningekuunganisha my blood sister ambaye ni dkt bingwa at her early thirties.
Hakuna daktari bingwa bongo hicho cheo tu

Mkiumwa unaenda kufia India au London halaf unasema tuna madaktar bingwa😄😄

Ushawah kuona mzungu katoka kwao kaja kutibia Tanzania?

Au hata waarabu au wahindi au wasouth tu hapa afrika wenzetu washawahi kuja kutibiwa hapa bongo?
 
Exposure and Interacting with people other cultures make someone somehow behave differently.

Nature bro haiondolewi na interactions, they just become manipulators, na wengine hujiunga na Dini na kukaa viti vya mbele kabisa, ila ni Wachawi wakubwa.
 
Reactions: apk
Sababu rahisi sana hizo. Yaani polisi kufika na kufika washajua kuwa ni msongo wa mawazo.
 
Umenifundisha kitu,kumsikiliza mtu, thanks
 
Uko sawa
 
Ila kujinyonga ni either kutojua kabisa kusudi la wewe kuwa hapa duniani yan kutokujielewa kabisa au nguvu za giza.
Ila kusingizia Stress Bongo hamna ambaye hana stress
Mkuu hawasingizii hiyo kitu ni real. Jiulize malaria imeua watu wangapi na kwanini wengne wanaishi nayo?

Stress zinaua asee sema inategemeana uko tensile strong kias gan mkuu, but it may break u completely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…