Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

Ni raha mno kugegedana na unajua mpo afya njema bila condom
Acha kabisa ni mwendo wa kuteleza tu
Nashangaaga sana watu wanatumia hela alafu eti anaenda mgegeda demu na condom....acha bwana kavu tamuuuu
 
Aidha, amesema kitaalamu mtu mmoja anatakiwa kufanya tendo la ndoa mara tatu ndani ya wiki moja ili kuuweka mwili sawa na kwamba anapofanya zaidi ya inavyoelekezwa hujiweka katika hatari
Hii inahitaji ufafanuzi..
Vitatu tu Kwa wiki, au Kwa kila siku hapo inaweza kuwa round kadhaa?
 
Kuna kipindi nilikaa kwa muda mrefu sana sawa tu na mfungwa aliefungwa gerezani miezi 6, nilifanya hivyo baada ya kupita ktk tundo la sindano na nikatoka salama.
Basi nilipokuja kufungulia nusu nife kweli, ndani ya siku 15 nilifanya siku 13, nilipungua hadi uzito, kweli too much sex unaweza enda.
 
Cha msingi wasiliingize hili jambo kwenye katiba Mpya.

Tufanye ngono kwa raha zetu. Hawa wanaotupangia watafika mahala wataanza kutupa masharti ya mikao ya kuchakatana.
 
Huyo Dr mambo ya wanaume anayapeleka kwenye kikao cha wanawake ili iweje?
 
Sasa huyu dokta si angetuongezea nyongeza kidogo zikafika hata mara saba hivi
 
Kwahio ni kwenye mapenzi tu mwanaume ndio anapoteza nguvu nyingi
Dr yuko sahihi kabisa kwa 100%, mi nakimbiaga zaidi ya dakika 100, na dakika 40 ni za mazoezi ya viungo kama squash, pushups, kukata tumbo, kuzungusha shingo, kiuno (mazoezi ya viungo kiujumla).

Kuna kipindi nilichakata kipochi manyoya zaidi ya wiki na siku ya 9 nilienda mazoezini, huweziamini nilikimbia kwa dakika 50 tu ulimi ulinitoka siku hiyo hadi nilihisi kufa [emoji1]

Nilirudi kukaa tena wiki nzima bila kula K na baada ya hapo nilirudi katika ubora wangu ule ule.

Sema panahitaji sana maombi, kujikana nafsi kwa kutoendekeza anasa za kidunia kwa PISI KALI na kujibidisha katika mazoezi [emoji1787]
 
Unachakata wiki na siku 9 back to back 😁
 
Yale mambo yamaliza nguvu sana, watu tamaa za mwili, nimefanya tafiti zangu binafsi wanaume wanao ishi wenyewe na kukaa mbali na sex wamekuwa wanamaisha marefu zaidi hata afya zao huwa nzuri sana
Shida akili za Mbongo bado zinaamini kuwa tendo la ndoa ndiyo starehe pekee kwake na urijali bila ya kujua ni hisia tu zinazomuendesha ila akiamua kuzitawala kwa akili anaweza kuutiisha na kuuendesha mwili anavyotaka hadi akawa anafanya kama sehemu ya wajibu tu.

Mungu hakukosea alipotuagiza Binadamu kila jambo tuwe tunafanya kwa kiasi.
 
Yale mambo yamaliza nguvu sana, watu tamaa za mwili, nimefanya tafiti zangu binafsi wanaume wanao ishi wenyewe na kukaa mbali na sex wamekuwa wanamaisha marefu zaidi hata afya zao huwa nzuri sana
ATHARI ZA KUJAMIIANA KUPITA KIASI (EXCESSIVE SEXUAL INTERCOURSE EFFECTS).

1. Hupunguza na kuua kinga za mwilini wakati wa kufika kileleni.

2. Huzeesha mapema kwa ngozi ya uso na viungo vya mwilini kukongoroka vibaya sana.

3. Hukwamisha ukuaji wa uchumi haswa kwa Me kwa kuhudumia Michepuko zaidi badala ya familia au kutuma pesa kwa Wazazi na kukosa baraka za Wazazi.

4. Hupunguza ulinzi wa Kiroho na kusababisha nguvu za giza kutamalaki kwa mikosi itokanayo na roho chafu za Michepuko.

5. Rahisi kuteswa na Jini mahaba hatimaye hufunga baraka za kuolewa/kuoa, uzazi, uchumi na hata kupelekea kifo sababu ya kuendeshwa na roho chafu kwa ngono za hovyo hovyo bila kujali kinga wala athari maana nguvu na akili si za Mtu halisi.
 
Hapo kuna effects za;

A: "UTILITY" kwa Wahasibu watakusaidia kukufafanulia hili neno.

B: Psychological problem kwa wewe mwenyewe kujijengea picha kuwa Mke wako kila sekunde, dakika, saa, siku, mwezi, mwaka na miaka uko naye hadi uzeeni hivyo kivyovyote vile lazima utakuwa umeshamzoea na hana jipya kwako.

SOLUTION:

* Jitahidi ujijengee mazoea kiakili kuwa kwa wakati wowote utaokutana na Mke wako basi yeye ni mpya katika ndoa yako hata kwenye mnyaduano na utajikuta unampelekea moto kila siku hadi ataomba poo.

* Achana kabisa na Michepuko au ikibidi punguza ili korodani ziratibu vyema chromosomes ambazo zitakuwa zinakupatia ashki ya kufanya tendo la ndoa na Mke wako hata kama atakuwa hana uhitaji na wewe ilihali wewe utakuwa umechoka au huna mzuka tokana na mbanano wa majukumu.

* Ombea sana ndoa yako Mungu akupatie ulinzi wa Kimwili, Kiroho, Kiakili, na kiafya ili ndoa yenu iwe na sura mpya kila siku ya upendo, umoja, furaha na amani.

* Kula vizuri msosi wa asili (proteins,, wanga kiasi, matunda na mboga mboga) kunywa maji mengi.

* Fanya mazoezi angalau kila baada ya siku 1 au siku 2 na pata muda wa kupumzika na kulala angalau si chini ya masaa 7-8 kwa siku.

* Usiendekeze mawazo hasi tu kila wakati maana utazeeka mapema, kuwa free stressed uinjoy uhai aliokupa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…