Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

Pale tu Kamata daraja lilishaporomoka
 
Kwani unadhani kukata na kujaza udongo wanatumia majembe ya mkono?
 
Kulikuwa na umuhimu gani kutoa kipaumbele kwa mradi unaohitaji pesa nyingi na haukamiliki karibuni wakati sekta nyingine muhimu kama kilimo, elimu, afya, maji, umeme, biashara, ajira nk zinazorota?
Pana point hapa. Unadidimiza sekta nyingine zaidi ya kumi kwa miaka zaidi ya kumi kwa ajili ya mradi mmoja
 
Tatizo waarabu sio watu wa kazi ni watu wa bata soft people yaan kuna kampuni nyingi tu zilikuwa sub contractor kama mortal engine hawa wareno walikuja na vifaa balaa then. Walikuwa wanalipa poa lakini walishindwana malipo na yepi
 
Tuanzie kwenye civil works ulizosema. Ni wapi amekwambia civil works zimebaki yaani hazijakamilika?
Kwa taarifa yako civil works (earthworks - cut & fill, structures) kutoka Gongolamboto (km 14+800) hadi Morogoro km 201+819 zimekamilika kwa 100%.
 
Mtikisiko wa uchumi tokana na covid19 utayumbisha vingi. Siyo kwetu tu, hata kwao.
Kwani hapa kuna madhara yoyote ya kiuchumi yaliyosababishwa na COVID 19!!wakati mapato toka covid imeanza yenyewe yanapaa tu??!!kulingana na TRA?!!Tuna mapesaa mengi mnooo!!huku wastafu wanahangaika pesa zao zote zimekombwaa!!!
 
Mtanzania anaweza kuchomelea IC ya umeme kwenye board ya PC mbovu na PC ikapona unahisi atashindwa kupanga mataruma ya saruji?

hahaha daaah ingekua ni ivi shule tupa kule nataka tenda za kujenga flyover na reli, kumbe professionalism ni easy ivi
 
hakuna cha slow. pesa hakuna. na wafadhili mnawadhihaki na kuwakashifu kwa kuwaita mabeberu. mko against na dunia kuhusu korona afu mnataka kufanikisha miradi ya kiwango cha dunia? hata akiichezea Katiba kwa kuondoa ukomo hilo limradi halifanikiwi.

mnawataka wachina mtayaweza masharti yao au mnawachukulia poa?
 
Watu kama huyu msemaji mkuu wa serikali wanaoongea bila kutoa data na ushahidi halafu haruhusu maswali magumu kama ya wanaJF, ndiyo wanaoeneza propaganda sisizo na mashiko kuwa mradi wa vipande vya reli vya SGR ikiwemo wa Dar Moro utakamilika kwa "wakati"

January 31 , 2021
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI : KIPANDE SGR RELI DAR - MORO CHANOGA


 
Hebu tusubiri tuone maana kuna miaka minne.
 
Aliyekwambia SGR inafika Tabora ndani ya awamu ya 5 ya miaka 10 nani?
SGR ndani ya awamu ya 5 inaishia Makutupora tu.
Ndio maana tunataka tumwongezee muda ili SGR ifike huko Tabora mpaka Isaka.
Umeelewa?
Kwani anajenga yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…