minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wasomi wa Serikali ndiyo huwacheleweshea malipo hao makandarasiHii nchi imejaa wasomi waoga hawawezi kumwambia ukweli mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasomi wa Serikali ndiyo huwacheleweshea malipo hao makandarasiHii nchi imejaa wasomi waoga hawawezi kumwambia ukweli mkuu.
Ni kweli, kuna kampuni ya kichina ilitaka kusaini na Jakaya kwa dau kubwa lenye mizengwe,lakini haikuwa sababu ya kuwanyima wachina kazi maana kampuni zipo nyingi.
Kampuni za China zilitaka kujenga hii sgr yetu kwa bei ya mara mbili kuliko ya Yapi Merkez, tena isiyokuwa na umeme kama waliyojenga huko Kenya.Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.
Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.
Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.
Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.
Inashangaza kwa nini PM Majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Fedha kiasi gani?Ni kweli, kuna kampuni ya kichina ilitaka kusaini na Jakaya kwa dau kubwa lenye mizengwe,lakini haikuwa sababu ya kuwanyima wachina kazi maana kampuni zipo nyingi.
Na ndio sababu ya kuomba Rais Magufuli aongezewe muda wa kutawala Tanzania kukamilisha ndoto zake kwa watanzania !Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019 na kipande hiki kina umbali wa km 202. Lakini leo hii tupo mwaka 2021 lakini nimezungumza na wadau ambao wapo site wanasema huu mwaka hawawezi kukamilisha.
Mmmoja wa wadau alie site japo kuwa sio mtaalamu sana wa civil works ila kwa uzoefu wake ameniambia kuwa kampuni ya Yapi merkez wapo slow katika kuchapa kazi. Maana anasema amefanya kazi za ujenzi kwa muda mrefu na haoni ugumu wa ujenzi wa reli maana kazi kubwa ni kujaza tuta na kisha kutandaza reli.
Kwa hiyo kukata udongo na kujaza tuta sio kazi ya kuchukua miaka minne,japokuwa kuna ujenzi wa madaraja,vituo na miundo mbinu ya umeme. Bora hii tenda wangepewa wachina tangu awali hizo km 202 zingekamilika.
Kuambia watu kuwa tutamilisha ujenzi wa Sgr ndani ya miaka 5 iliyobaki ya utawala wa JPM ni ndoto za mchana. Maana kwa kasi hii ya kampuni ya Yapi merkez ni kujidanganya kuwa vipande vya Makutupora to Moro,Dom to Tabora na Tabora to Isaka vitakamilika kwa wakati.
Inashangaza kwa nini PM Majaliwa haoni aibu kila mara kutuambia kuwa tupo karibu kuanza kupanda treni ya umeme wakati kiuhalisia bado sana.
Watu walikuwa wanatafuta namna ya kupiga hela mkuu.Wazo hili mkubwa angelipata mapema leo tungekuwa tungekuwa tunaongea mafanikio
Maamuzi ya mihemuko,kutokuwasikiliza wataalamu tumejikuta tuna miradi mikubwa inatekelezwa kwa pamoja(Bwawa la umeme mto rufiji, Treni ya mwendo kasi).
Na kuamua kufanya matumizi makubwa ya fedha yasiyozingatia bajeti na ushauri wa wataalam.
Ndoto? Bado amelala?Na ndio sababu ya kuomba Rais Magufuli aongezewe muda wa kutawala Tanzania kukamilisha ndoto zake kwa watanzania !
Au mnasemaje ?
Tatizo siyo kampuni ya ujenzi Tatizo ni Serikali kuwa wasumbufu kulipa wanachelewesha malipo hawalipi kwa wakatiUchambuzi wako hauna facts,na bahati umeeleza kuwa wewe sio mtaalamu,sasa kumbuka huo ni ujwnzi wa reli ya mwendo kasi,una yjenzi tofauti na reli ya kawaida,pia hiyo kampuni ni kampuni kubwa sana na imwjenga reli kuliko hiyo huki kwao uturuki,nenda kaone waluvyojenga instambul
Tatizo ni usumbufu wa Serikali kuwalipa kwa wakatiUkitaka facts nenda site kashuhudie unachoona kwenye Tv kama ni kweli.
Kama ni kampuni mahili,cut and fill kisha kutandaza reli ndio ichukue miaka minne km 202?
Una uhakika na unachosema we bumunda?Kuna usumbufu mkubwa kwenye malipo Serikali huchelewesha malipo hivyo Tatizo siyo kampuni bali ni Serikali yenyewe
Umejiuliza kwanza kama wamelipwa?Kwa kampuni kama Yapi merkezi hata akiongezewa muda haitakamilika.
Kampuni ingekuwa na Tatizo tungeshasikia mtukufu mwenyekiti wa CCM akipita kelele juu yao, lakini kwa kuwa Tatizo ni wao kuwa wasumbufu kulipa kwa wakati ndiyo maana wapo kimya sana.Kampuni za China zilitaka kujenga hii sgr yetu kwa bei ya mara mbili kuliko ya Yapi Merkez, tena isiyokuwa na umeme kama waliyojenga huko Kenya.
Hivyo tukampa Yapi Merkez ambaye anaijenga kwa ubora wa juu sana. Kampuni za China baada ya kuona hivyo sasa vimepunguza bei kidogo kuliko Yapi Merkez na zimeahidi kujenga kwa ubora huo huo au zaidi kidogo wa Yapi Merkez. Kampuni moja tayari imeshaanza kazi ya ujenzi wa sgr kutokea Mwanza hadi Isaka. Kampuni nyingine ya China karibu itaanza kazi kutokea Tabora hadi Isaka. Tunatafuta kampuni nyingine ianzie Tabora hadi Makutupora. Hizi kampuni tatu zitakamilisha vipande vyao ndani ya miaka 2 au 3. Hivyo kufika mwaka 2024 reli yote ya sgr kutoka Dar hadi Mwanza itakuwa imekamilika kwa 100%. Itakayochelewa ni ile ya kutoka Tabora hadi Kigoma na ile ya kutoka Isaka hadi kwa Kagame. Hizi zitasubiri kidogo lakini normal gauge rail inajengwa kutoka Mpanda hadi DRC na wahandisi wetu wa TRC, na itakamilika ndani ya mwaka 1 au 2.
Kenya walioanza kabla yetu bado wanahangaika wakati wala si ya umeme. Sisi tuko vizuri sana. Hakuna mawingu kwenye hili wala dalili zo zote za mvua. Kazi zinaendelea kwa uhakika na spidi ni nzuri. Ujenzi huu ni wa design & construct method hivyo muda ujenzi utakaotumika kwa kila eneo unapatikana baada ya kulifikia eneo na kulifanyia detail design inayokidhi eneo hilo. Hata gharama ya ujenzi inakuwa hivyo hivyo provided total cost isizidi cealing ilyoko kwenye mkataba (framework). Chenji ya pesa lazima itabaki. Shirika letu la reli linasimamia vizuri sana kazi hii na liko imara chini ya Kadogosa!
Uhakika uletewe hapo unaposhinda? au uhakika ukaujue ofisini SGR? Sema boss mkuu tukuletee uhakika wapi maana wewe ni mtu mkubwa unaletewa uhakika popote ulipo hata kama utakuwa guest house.Una uhakika na unachosema we bumunda?
Hawalipwi kwa wakati wanasumbuka sana kupata malipo yaoUmejiuliza kwanza kama wamelipwa?
Wanajua kuomba aongezewe miaka ya kukaa ikulu kama museveni wa Uganda, lakini hawajui kuomba Serikali iwalipe makandarasi kwa wakati kazi ziende kwa kasiNa ndio sababu ya kuomba Rais Magufuli aongezewe muda wa kutawala Tanzania kukamilisha ndoto zake kwa watanzania !
Au mnasemaje ?
We bichwa bumunda ndio watudanganye kuwa mradi upo tayari wakati bado?Kampuni ingekuwa na Tatizo tungeshasikia mtukufu mwenyekiti wa CCM akipita kelele juu yao, lakini kwa kuwa Tatizo ni wao kuwa wasumbufu kulipa kwa wakati ndiyo maana wapo kimya sana.
Hiyo reli ya Mpanda Hadi DRC itapitia wapi mkuu ?Kampuni za China zilitaka kujenga hii sgr yetu kwa bei ya mara mbili kuliko ya Yapi Merkez, tena isiyokuwa na umeme kama waliyojenga huko Kenya.