Tetesi: Dangote kusimamisha kazi zake Tanzania

Status
Not open for further replies.
Dan
Dangote alianzisha kiwanda akishirikiana na wanasiasa akijua atapata miteremko siku zote! Mambo yamegeuka ,aache visingizio alipe kodi.
 
Afunge Kiwanda cha zaidi ya 300 Million US Dollars, hiyo gharama atamrudishia Babako?
Kwani mwanzoni alivyotaka kufunga mpaka muheshimiwa akaingilia kati, hiyo pesa ulikuwa unataka kumrudishia ww
 

Na unaowaambia maji ya bomba yanapatikana kwa tabu mjini Dar es Salaam watakushangaa pia. Kwa sababu kila siku wanauona mto Ruvu umejaa maji!

Mleta mada kaeleza kwamba hayatoshi na gharama ni kubwa! Form 4 inee?
 
Kuagiza makaa ya mawe toka songea ni gharama kubwa lakini kuagiza toka afrika ya kusini ni gharama nafuu!!!! Uongo mwingine hata shetani hajawahi kuufanya! Na aondoke! Hatukuanza maisha baada ya Nangote kuja Tanzania na maisha hayatakoma baada ya Dangote kuondoka Tanzania!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kujichanganya alieanzisha uzi ni mkenya acheni kuendelea kuchangia hayo mambo sio kweli mm npo hapa mtwara baba yangu mdogo ni mwajiriwa wa dangote hakuna issue kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They can't afford they are free to leave we are wishing them all the best

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Point of correction. Hutakiwi kuendelea ku produce simply because una cover your variable cost kwani bado unaweza ku produce at a loss kwa kutoku cover fixed cost. Unatakiwa kuendelea ku produce from break even point and above.
 
Without him how we managed to live!? If he wants to go let him go who cares

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Laana ya kuwanyima ajira watanzania na kuwajaza wageni inakitafuna kiwanda cha Dangote. Acha wafe tu!
 
Nawaza kwamba watanzania wangap watapotez ajira zao na faida za uwekezaji wake tutazipoteza
Haya yalitarajiwa kufika kwa mazingira mabovu yaliyojitokeza ya kuwekeza tanzania kwa sasa

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…