Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

Ukahaba ni worldwide na sababu sio kuishi sinza au magomeni.

Ni biashara ambayo haitakuja kuisha labda yesu arudi.

Serikali ihalishe kuwe na maeneo special ili kuepuka kufanyika kwenye makazi ya watu. Huku kujifanya mnafata maadili ndo watu wanafanyia popote pale.
Moja ya biasharaza kalze zaidi duniani,ni biashara iliyopo nchi zote duniani na miji,vitongoji vyote duniani,ukahaba ni ubinadamu na ubinadamu ni ukahaba, haviachani kama hutaki shauri yako,ni asili hebu jiulize kuna mtu alikufundisha jinsi ya kunyunduana? jibu ni hapana bali ni asili ya viumbe hai.
 
Moja ya biasharaza kalze zaidi duniani,ni biashara iliyopo nchi zote duniani na miji,vitongoji vyote duniani,ukahaba ni ubinadamu na ubinadamu ni ukahaba, haviachani kama hutaki shauri yako,ni asili hebu jiulize kuna mtu alikufundisha jinsi ya kunyunduana? jibu ni hapana bali ni asili ya viumbe hai.
Basi wapewe haki yao, wapewe utaratibu maalum😀
 
Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu
😝😝😝😝 kwa tunaopajua tunasikitika tu usoni huku tukifurahi kimoyomoyo
 
siku kila ujinga wa wanawake wanasingiziwa wanaume, mwanamke akiwa kahaba msala anapewa mwanaume eti kwa sababu ndiyr mnunuzi.

Kwani na wao wakijifungua ndani hao wanaume watapata wapi wakuwanunua.?
Mwanamke ameshindwa kujua thamani yake mbele ya jamii kiasi cha kushindwa kumtii mwanaume matokeo yake ni yeye kupata mahangaiko na kurudi kumsingizia Mwanaume.

Elimu ya uumbaji inapaswa kutolewa mashuleni bila kupepesa macho, Jamii ijue nafasi ya mwanamke na mwanamme ni ipi kwenye jamii na malezi ya familia. Mungu hajamuumba mwanaume kubaki nyumbani kulea familia baadala yake amemuumba kuhangaika kutafuta ugali na mwanamke abaki nyumbani alee watoto.
 
Wakuu

Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro

Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni kero kubwa kwa wakazi wa maeneo husika hasa katika makuzi na malezi ya watoto kwani madanguro hayo yanapatikana katika makazi ya watu

Kwa sasa kuna DANGURO kuuubwa limetengezwa maeneo ya Mbezi Mwisho, wananchi na wapangaji wa eneo lile walipewa notsi kuachia vyumba vyao kupisha biashara ya ukahaba

Kwa sasa danguro limekuwa kubwa mno, baa ya lubumbashi na Kwa GOD zimekuwa chachu ya ukahaba huu

Imagine lile eneo lote kati ya kwa god na lubumbashi, zile nyumba za kati zote ni madanguro
Eneo lile saa 1 jioni tu makahaba yamejaa wala hayaogopi kitu

Serkali na jeshi la polisi tunaomba danguro hili lisambaratishwe
Roho Mubaya
 
Nasikia hapo kuna Wanyarwanda acha niendeleo jioni pale kwa God napajua sana. Ngoja nikapige kisimi maji ya Kinyarwanda. Bai bai danguro la Mwananyamala.
 
watu mnachonga sana as if hamnunui , kama kuna mmoja wenu humu hajawahi kununua anyooshe kidole juu tumtambue
 
Mapolisi wenyewe wa pale Mbezi kituoni au?
Sahau hilo mkuu, wale kazi yao ni kupita na kuchukua "chao" kila jioni na wakuu wanamgao wao kila mwisho wa wiki!
 
Watu wa Dar ni walalamishi sana....hasa mnaokaa uswahilini kama wewe. Achana na maisha ya watu...ukiona hapakufai hapo hama kulinda maadili ya familia yako,otherwise huna utakalo saidia zaidi ya porojo.
AU
Umetoka zako mkoani umefika dar,unawapelekea sheria zako za kitemi!!!! Mji mkubwa huo utakushinda.
Huenda hapo ndio makazi yake ya kudumu halafu unamuambia ahame?
Sio watu wote 'wameandiwa' kupanga hadi wafe kama wewe!
 
Nyakati, era, zama zako ni sasa

Dunia duara?
Kakwambia nani,

Dunia inaisha?
Kakwambia nani,

Usiishi kwa kuiga Wala kukariri maandiko usiyojua mwandishi alimaanisha nini.

Badala yake, fanya vitu vinavyokupa furaha, maisha yenyewe ni mafupi haya, utakufa na utawapisha wengine.
 
Back
Top Bottom