Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Nimesoma kwenye taarifa za kipolisi kumbe anaitwa Neema Mushi ni mdada wa kimachame.Punguzeni hasira basi wadada wa kipalestina mnawaharibia wenzenu kuolewa sasa ona
Siyo kila Mushi ni Machame. Wapo pia kina Mushi wa Kibosho,Marangu na hata Siha
 
Hahaha inabidi nianze kubadilika aisee...hawa watu sio wakuamini usiku unaweza pigwa hata tofali la kichwa, na pombe zetu hizi ndio inakua bye bye
Hahahahah demu alikuwa anamlia timming mwana kwa jinsi tukio lilivyo na huenda alimpa papuchi kwanza na kumtia bwax 😂! Kisha usiku mnene akamnyoosha mishale ya unane nane.

Hilo ni somo kwa mabaharia tuliobaki nchini. Demu hatakiwi kukutia pombe kisha ukalala nae ikiwa mko na mgogoro! Ni muhimu kuficha silaha zote zenye ncha kali 😂😂😂 ikiwemo panga, bisibisi, kisu hamna namna! Usisahau funguo inatakiwa uzifiche na milango usifunge!
 
Matukio yamekuwa mengi hatari, Huku corona, huku kodi ya miamala, huku soko linateketa kwa moto, huku watu wamechomana moto, huku kiongozi analalamika huku mwananchi nae analalamika
 
...Watateseka Sana. Kwa tunavyowsjua ndugu watakaowachukua na kukaa nao, mtoto akikosea kidogo tu utasikia..."usinisumbue! Mama na mama yako wameuana huko unataka kuniletea Shida mimi!"

Ndugu wa kiafrika waone hivi hivi...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]

Haahaaahaa
 
Kuna mwanamke alimuua mchepuko wake kwa visu. Kapelekwa mahabusu ndani ya wiki tu anaanza kujuta.
Ni miaka mitano iliyopita. Bado yupo huko lupango ,,natumai sasa kazoea hayo maisha.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Huyo mwanamke bana sasa mchepuko ni wa kushugulika nae kweli? [emoji849][emoji849]

Bora hata angekuwa mumewe
 
Hahahahah demu alikuwa anamlia timming mwana kwa jinsi tukio lilivyo na huenda alimpa papuchi kwanza na kumtia bwax [emoji23]! Kisha usiku mnene akamnyoosha mishale ya unane nane.

Hilo ni somo kwa mabaharia tuliobaki nchini. Demu hatakiwi kukutia pombe kisha ukalala nae ikiwa mko na mgogoro! Ni muhimu kuficha silaha zote zenye ncha kali [emoji23][emoji23][emoji23] ikiwemo panga, bisibisi, kisu hamna namna! Usisahau funguo inatakiwa uzifiche na milango usifunge!
Kwa maelezo ya neema anasema alimpa kimoja
 
Kwa maelezo ya neema anasema alimpa kimoja
Kimoja si unajua kinavyolevya hasa ukiwa umeoza tilalila yani usingizi wake unakuwaga mzito unaweza ukabebwa na kulazwa barazani nje ya nyumba na usistuke!

Ukishapiz tu ule uchovu kuamka masaa 6 mbele huko! Demu akatambaa na chaki wakati jamaa kashazima!😅😅😅
 
Huo unyama angekua kafanya mwanaume hakuna ambae angemtetea ila kwa kuwa ni mwnamke tukio linapunguzwa punguzwa ukubwa kwa utetezi kama huu
Huo unyama angekua kafanya mwanaume hakuna ambae angemtetea ila kwa kuwa ni mwnamke tukio linapunguzwa punguzwa ukubwa kwa utetezi kama huu
Mkuu, wanaume tumezoea kupambana na tunafahamika kwa kukabiliana hali yoyote itakayojitokeza
Wanawake wao hawapo hivyo
 
Back
Top Bottom