Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa
Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu...
Kulazimisha mahusiano ni uhalifu kama mwingine. Mwanaum
Japo amekosea ila tujiulize.....

Imekuwaje hadi amefikia kumchoma mumewe aliyemchagua mwenyewe moto...
Hujasikia fulani kamuua mtalaka wake!!! Kuachana siyo suluhisho, hadi walioachana wanauana, na masingle lady wanauwawa na mabwana zao. Suluhisho wanawake muwe watiifu kwa waume zenu na mkubali mwanaume hajaumbiwa mwanamke mmoja.

Ndiyo maana hakuna mwanamke anayeweza kubeba mimba za wanaume wawili na kuwazalia kwa mwaka mmoja. Hapo kisingizio itakuwa mume hakuwa mwaminifu
 
😂😂😂 unaweza tu hata umekaa mahali akakumwagia petrol chap akakupiga kiberiti usiamini mkuu. Wembe ni ule ule.😅 kikubwaa kwenye mgogoro hapo tena sio mkeo usiende lala kwake.
Hahahahah demu alikuwa anamlia timming mwana kwa jinsi tukio lilivyo na huenda alimpa papuchi kwanza na kumtia bwax 😂! Kisha usiku mnene akamnyoosha mishale ya unane nane...
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa
Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu....
Mwanamke akitenda kosa lazma itatafutwa justification na excuse aonekane ni victim. Kama vile wanawake wote ni malaika watakatifu.

Mwanamke hata kama umetoka naye mbali kivipi akiaanza tabia mbovu ubabe kukosa heshima kutaka kukupanda kichwani usimuache kisa mmetoka mbali wkt huko mbali tabia haikuwa hiyo!

Ila mwanaume hali yake ya uchumi ikibadilika kdg utaambiwa mwanaume suruali wa nini utaachwa hata kama mlitoka mbali.
 
Mwanamke akitenda kosa lazma itatafutwa justification na excuse aonekane ni victim. Kama vile wanawake wote ni malaika watakatifu. Mwanamke hata kama umetoka naye mbali kivipi akiaanza tabia mbovu ubabe kukosa heshima kutaka kukupanda kichwani usimuache kisa mmetoka mbali wkt huko mbali tabia haikuwa hiyo!!! Ila mwanaume hali yake ya uchumi ikibadilika kdg utaambiwa mwanaume suruali wa nini utaachwa hata kama mlitoka mbali.
Duuh mbona kwenye umalaya hamsemi vile wanawake wanavyotukanwa huku wanaume wakisifiwa
 
Back
Top Bottom