Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Mnawaloga mixer kuwanyonya mik*nd* na uchi hlf mnataka kuwaacha hivi hivi

Mtu anaishije sasa na ushamtia uchizi kote kote mtoto wa watu
Ahaaahaaaahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]

Jamani niachien mbavuu zangu uwiii[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Kuna haja ya kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye mahusiano Rasmi.

I mean mjaribu kidogo unayemtaka kuona ni mtu wa aina gani maana unaweza ingia kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahihi.
Watu hubadilishwa na sarakasi za mahusuano
Anaingia akiwa chakaramu anakuja kutulizwa na kutulia tuli
Anaingia akiwa mpole na mwenye huruma anabadilika na kuwa mkali na katili kabisa
Anaingia hajui pombe wala bangi wala madawa anabadilika na kuwa kigego
 
Upo sahihi,

Ila mkuu Kuna baadhi ya tabia hazifichiki ukimuexpose mtu kwenye mazingira flani, kwa kiasi flani itasaidia kugundua mapema unadeal na mtu wa aina Gani Ili kama utafanya maamuzi uwe tayari kwa lolote.
 
Kaka mapenzi ni kitu cha ajabu sana nadhani hata wewe ilishakutokea umamuonya mtu kuhusu mahusiano yake na mtu fulani lakini akatia pamba masikioni asisikie asiambiwe...
Unaambiwa mapenzi upofu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] mkuu tulia kwanza...ya magunia imexpire hiyo

Habari ya mjini ni petrol

Jokes aside....ukiona mpaka mwanamke kafikia hatua hiyo ujue yalimfika hapaa, huwa sisi ni wavumilivu sana sana
Hakuna lolote..unakuta tu kijianamke kina kisirani hakipendwi na wanaume wengine kikibahatisha mmoja na huyo mmoja akiwa hayupo full commited mambo haya ndo yanatokea..wewe hawara wako unaanzeje kuwa naye na wivu kiasi cha kumtoa roho kama si uwendawazimu uliochangiwa na desperation?
 
No comment

Niseme Nini Mimi mnyonge!

Omba usikutane na makulumembe fc utaseka Sana,yanakuaga na wivu wa kijinga Sana hasa ukiwa mwanaume unaejipenda basi atatangaza mtaa mzima na ukitaka kuliacha usepe na zako litakufuatilia lijue ulipo likuharibie iwe mmekosa wote hata Kama umeamua kuvuta jiko litaivunja tu!

Wake na waume tuwe makini kwenye mahusiano tunayoanzisha aisee!
 
[emoji109][emoji109]
 
Hata kama alikuwa anapitia magumu kiasi gani hakutakiwa kutenda alichotenda bali alikuwa na nafasi ya kuondoka akaishi maisha yake.

Mpaka angepata mshauri maana wengi wanaotenda haya mambo pamoja na wale wanaojiua huwa wanakuwa wamebeba vitu vingi moyoni bila kuhusisha watu, unakuja kupata mshangao wa tukio japokuwa wachache huwa na roho ngumu
 
Back
Top Bottom