Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Mabaki
Screenshot_20210717-152111.jpg
 
Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai
Huu ukatili hauelezeki jamani, ifike mahaki mahusiano yakikushinda just walk away, tusifike hatua ya kukatisha uhai wa mtu
 
Hawa wanawake wakichaga wakorofi sana, Mimi kuna Mmoja nilimuoa akaanza fujo za kikaidi nilichokuja kumfanya mpaka leo hii hataki kusikia ata jina Langu.

Nikaoa Manzi ya Kisukuma aise iko poa sana inajielewa kama Mwanamke Maisha yako poa kabisa miaka 10 Bila Migogoro,Sitaki hata mchepuko wa kichaga.
 
Sura komavu vile kupata mwanaume mteke kama yule ni jambo la kujivunia, ndo mana alichanganyikiwa kusikia jamaa ana ke mwingine na mtoto juu...!
...Haya mambo ya Kuchepuka Yanasumbua sana!
Sijui yule Bibie aliyebaki na Mtoto atakua anajisikiaje saa hizi!
Kams ninamuona hivi alipoletewa taarifa za Mzazi Mwenzake kufariki kwa moto!!!
 
Ukitaka chepuka yasikukute yalomkuta mwamba,hakikisha umetengeneza mazingira

penda sana hiyo mke wako,letea zawadi zote unazozijua,ipe caring ile ya 5 star hotel

kesho yake iache mkeo imepumzika home,iambie unaenda kazini (nenda kachepuke huko)

ukirudi home behave buraza kama ndio unatoka kitandani asubuhi,by doing that i guarantee your Safety

ilisikika masai moja ikisimulia morani....
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu...
Nilijuwa utakuja na HOJA zako mfirisi kama hizi. Kwa nini usikubali kuwa wengi wa Dada zako (mabinti wa kichaga sio wife material)?. Tukio hili angelifanya Mhaya au Msukuma hakika ungemfungulia uzi. Wapalestina sio watu wazuri kabisa
 
Kwanza tuachane na yote hayo! nataka kujua huyo bwana mkubwa mpaka anafungiwa ndani moto unawashwa yeye alichomwa ganzi au ilikuaje,yani kabisa kageuzwa barberque anajiangalia kbsa!
 
Ni uamuzi wa kishetani, siamini ila ninaomba hospitali ya Mirembe imfanyie huyo mwehu uchunguzi yakinifu.
 
Sahihi kabisa kaka. Hawa wenzetu ni wavumilivu sana ukiwa nao fair, ila ukimzingua, huwa wana maamuzi ya ajabu sana. Binafsi hata katika maisha ya kawaida, huwa sipendi quarrel na mwanamke, huwa wana maamuzi ya ajabu sana hawa viumbe!

Kisaikolojia wanasema mwanamke hupenda kumuona adui yake wa kike akiteseka, ila adui yake wa kiume wao hummaliza sababu wanajua hawana nguvu za kimaumbile kupambana nao.
Kama unalolisema lingekuwa la kweli bac wanaume wote duniani tungeisha.case kama za Neema ni chache na ukifuatilia utakuta alikuwa na ukichaa fulani.Wanawake ni ngum kufanya ukatili ukiringanisha na wanaume kutokana na ukweli kwamba wao hutokwa na stress kirahisi kuliko sisi,ataumia na atalia sana,kule kulialia kunapunguza stress.
 
Back
Top Bottom