Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ukatili hauelezeki jamani, ifike mahaki mahusiano yakikushinda just walk away, tusifike hatua ya kukatisha uhai wa mtuMkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mumewe ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai
Hisia mamaWadada tunafeli wapi.sijui
🤣🤣🤣🤣Petrol ndo habare ya mujini
...mmmm, Mkuu! Akaliwe jicho na wanawakr wenzake wafungwa? Ama siku hizi wanachanganywa?? [emoji3]Huyo Neema mwenyewe malaya huoni sikioni ana tundu mbili za kila sikio.
Ngoja aende jela akaliwe jicho amechoka kuliwa mtaani huku akilipwa pesa.
...Haya mambo ya Kuchepuka Yanasumbua sana!Sura komavu vile kupata mwanaume mteke kama yule ni jambo la kujivunia, ndo mana alichanganyikiwa kusikia jamaa ana ke mwingine na mtoto juu...!
Nilijuwa utakuja na HOJA zako mfirisi kama hizi. Kwa nini usikubali kuwa wengi wa Dada zako (mabinti wa kichaga sio wife material)?. Tukio hili angelifanya Mhaya au Msukuma hakika ungemfungulia uzi. Wapalestina sio watu wazuri kabisaSometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios
Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu...
Acha kutetea upuuzi.Hamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa
Kwakweli aisee, wakati mabaharia tunatembea na magunia ya mkaa wao wanatembea na madumu ya petroli[emoji23][emoji23][emoji23] 2-2.
Kama unalolisema lingekuwa la kweli bac wanaume wote duniani tungeisha.case kama za Neema ni chache na ukifuatilia utakuta alikuwa na ukichaa fulani.Wanawake ni ngum kufanya ukatili ukiringanisha na wanaume kutokana na ukweli kwamba wao hutokwa na stress kirahisi kuliko sisi,ataumia na atalia sana,kule kulialia kunapunguza stress.Sahihi kabisa kaka. Hawa wenzetu ni wavumilivu sana ukiwa nao fair, ila ukimzingua, huwa wana maamuzi ya ajabu sana. Binafsi hata katika maisha ya kawaida, huwa sipendi quarrel na mwanamke, huwa wana maamuzi ya ajabu sana hawa viumbe!
Kisaikolojia wanasema mwanamke hupenda kumuona adui yake wa kike akiteseka, ila adui yake wa kiume wao hummaliza sababu wanajua hawana nguvu za kimaumbile kupambana nao.