Hamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa
Dah unajenga hoja za kutetea? Duh !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa
Jamaa kakamatika kizembe sana,ila hakutegemea...Mkuu, una maana hapo kuwa Bia za Dezo pia zimemponza Zungu!
Kwamba angezikataa na akaendelea na ratiba zake za hizi angekuwa kwenye ishu zake za kutafuta pochi tu? RIP Zangu.
Sawa.Hata hao wanandoa, sasa mtu si anafuata ya dini yake!? Ndio maana kila siku huwa tunasema oa au olewa na wa dini yako. Huwezi kumlazimisha mwenye dini yake afuate ya dini yako.
Askari jela wanawala sana....mmmm, Mkuu! Akaliwe jicho na wanawakr wenzake wafungwa? Ama siku hizi wanachanganywa?? [emoji3]
Sikilizia povuuu la wanaume humu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji14]
Wanawake sasa wameamka, huu ndo uanamke wa shoka, sio kuja kulia lia humu sijui napigwa, sijui nanyanyaswa! Piga petrol[emoji16][emoji16]
Duh pole sanaNililishuhudia tukio mwanzo mwisho...aliechomwa ni rafiki yangu mkubwa
Atakuwa haamini kilichotokea masikini..!...Haya mambo ya Kuchepuka Yanasumbua sana!
Sijui yule Bibie aliyebaki na Mtoto atakua anajisikiaje saa hizi!
Kams ninamuona hivi alipoletewa taarifa za Mzazi Mwenzake kufariki kwa moto!!!
Kama ni mtaalaam wa kuchezea visu basi atakuwa mkibosho!Huyu Neema huyo Zungu hakuwa mume wake. Hawa walikuwa wapenzi tu, Neema alipata hasira baada ya kujua Zungu ana mwanamke mwingine na amezaa nae. Kwa hiyo mleta mada hapo kwenye mahusiano naona umechanganya kidogo, hawa hawakuwa mke na mume na kila mtu alikuwa anaishi kivyake.
Neema alimrubuni jamaa akalale kwake, jamaa alivyoenda kwa huyo dada ndipo dada akamchoma visu na kisha kumwaga petrol kuchoma nyumba akiwa amemfungia jamaa ndani.
alilazimishwa kuwa nae? kwao huyo mwanamke hakupo? kishamchoma maumivu yametoka? inaenda kumtesa hiyo dhambi moyoni kwake ktk maisha yake yote hata kuwa na amani labda awe amezoea kuuwa wanadamuHamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa
Ndo hivo Majuto ni mjukuu...alilazimishwa kuwa nae? kwao huyo mwanamke hakupo? kishamchoma maumivu yametoka? inaenda kumtesa hiyo dhambi moyoni kwake ktk maisha yake yote hata kuwa na amani labda awe amezoea kuuwa wanadamu
ila sio kutoa uhai wa mtu mkuu kushindwa kufikia ndoto na mpenz wako au malengo haikufanyi uue ok tufanye kaua hayo malengo anayatimiza kwa sasa?Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios
Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa...
kwenye maisha kuna changamoto kubwa sana niliwahi kuchukua mkopo na mwanamke ambae angekuwa mke wangu hapo ieleweke hatua zote zilifuatwa ilibaki ndoa tu tuliwekeza ktk biashara kwa bahat mbaya zilikufa vibaya sana kisha akaanza kutoka nje ya mahusiano tuliachana kwa aman.Ndo hivo Majuto ni mjukuu...
Hasira za kutendwa na kuumiza ndo zinaongoza watu kwenye visasi ila wakishafanya matokeo wanateseka milele
Tatizo mbeleni kuna kubadilikaKuna haja ya kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye mahusiano Rasmi.
I mean mjaribu kidogo unayemtaka kuona ni mtu wa aina gani maana unaweza ingia kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahihi.
Dah so poa soHisia mama
So PoaaaHisia mama
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu dada kwa kumtazama tu kama sio Mrombo huyu basi Mpalestina...
Well said member. Ndio maana naendelea kumshangaa huyu Bwana Mshana Jr kwa kutetea unyama huu tena kwa makala zake ndefu.kwenye maisha kuna changamoto kubwa sana niliwahi kuchukua mkopo na mwanamke ambae angekuwa mke wangu hapo ieleweke hatua zote zilifuatwa ilibaki ndoa tu tuliwekeza ktk...
Aisee sikia moto kwa mwenzio ila usikupate, fahamu tu hata ile hewa ukiivuta tu inatosha kutoa uhai.Ivi jamaa alishindwa kubomoa paa atoke au mbona jamaa alikufa kizembe sana au alilewa akashindwa kujinasua ...Yan sielewi jamaa alishindwa VIP kuchomoka ..dume zima ,,