Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Hamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa

Dah unajenga hoja za kutetea? Duh !
 
..Mkuu, una maana hapo kuwa Bia za Dezo pia zimemponza Zungu!
Kwamba angezikataa na akaendelea na ratiba zake za hizi angekuwa kwenye ishu zake za kutafuta pochi tu? RIP Zangu.
Jamaa kakamatika kizembe sana,ila hakutegemea.

Hela yenyewe huyu mwanamke alipokea ya mchezo kutoka kwa wapika supu wenzake tuliwahoji wakasema hivyo.
 
Hata hao wanandoa, sasa mtu si anafuata ya dini yake!? Ndio maana kila siku huwa tunasema oa au olewa na wa dini yako. Huwezi kumlazimisha mwenye dini yake afuate ya dini yako.
Sawa.
 
Sikilizia povuuu la wanaume humu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji14]

Wanawake sasa wameamka, huu ndo uanamke wa shoka, sio kuja kulia lia humu sijui napigwa, sijui nanyanyaswa! Piga petrol[emoji16][emoji16]

Ushoka wake uko wapi na anaenda kufia Jela?
 
...Haya mambo ya Kuchepuka Yanasumbua sana!
Sijui yule Bibie aliyebaki na Mtoto atakua anajisikiaje saa hizi!
Kams ninamuona hivi alipoletewa taarifa za Mzazi Mwenzake kufariki kwa moto!!!
Atakuwa haamini kilichotokea masikini..!
 
Huyu Neema huyo Zungu hakuwa mume wake. Hawa walikuwa wapenzi tu, Neema alipata hasira baada ya kujua Zungu ana mwanamke mwingine na amezaa nae. Kwa hiyo mleta mada hapo kwenye mahusiano naona umechanganya kidogo, hawa hawakuwa mke na mume na kila mtu alikuwa anaishi kivyake.

Neema alimrubuni jamaa akalale kwake, jamaa alivyoenda kwa huyo dada ndipo dada akamchoma visu na kisha kumwaga petrol kuchoma nyumba akiwa amemfungia jamaa ndani.
Kama ni mtaalaam wa kuchezea visu basi atakuwa mkibosho!
 
Hamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa
alilazimishwa kuwa nae? kwao huyo mwanamke hakupo? kishamchoma maumivu yametoka? inaenda kumtesa hiyo dhambi moyoni kwake ktk maisha yake yote hata kuwa na amani labda awe amezoea kuuwa wanadamu
 
alilazimishwa kuwa nae? kwao huyo mwanamke hakupo? kishamchoma maumivu yametoka? inaenda kumtesa hiyo dhambi moyoni kwake ktk maisha yake yote hata kuwa na amani labda awe amezoea kuuwa wanadamu
Ndo hivo Majuto ni mjukuu...
Hasira za kutendwa na kuumiza ndo zinaongoza watu kwenye visasi ila wakishafanya matokeo wanateseka milele
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa...
ila sio kutoa uhai wa mtu mkuu kushindwa kufikia ndoto na mpenz wako au malengo haikufanyi uue ok tufanye kaua hayo malengo anayatimiza kwa sasa?
 
Ndo hivo Majuto ni mjukuu...
Hasira za kutendwa na kuumiza ndo zinaongoza watu kwenye visasi ila wakishafanya matokeo wanateseka milele
kwenye maisha kuna changamoto kubwa sana niliwahi kuchukua mkopo na mwanamke ambae angekuwa mke wangu hapo ieleweke hatua zote zilifuatwa ilibaki ndoa tu tuliwekeza ktk biashara kwa bahat mbaya zilikufa vibaya sana kisha akaanza kutoka nje ya mahusiano tuliachana kwa aman.

Nilikuwa na maumivu mawili makubwa kwanza kupoteza pesa kisha kusalitiwa ila roho yangu haikuingiwa na tamaa ya visasi kwake na kwa jamaa zake bado naishi napambana sikati tamaa ila yeye analia sasa kwa hiyo kuna baadhi ya changamoto zinakujenga kufika sehem fulani sasa kama pengine kaona jamaa ni msaliti ilikuwa ni alarm ya yeye kusonga mbele sio kulilia uhusiano usio na tija Mungu ana lengo lake kukuonesha uovu mapema ujipange kutafuta njia yako sahihi.

Ktk maisha yangu naumia sana kuona mtu anatoa uhai wa mwanadamu mwenzie ni hatua mbaya sana huwa naendesha gar nawaza sana kama ikitokea nimegonga mtu nitafanyaje? kisha akafa naomba sana kwa Mungu nisipate hiyo kitu nasema hivyo kwa sababu naona watu wanavyolea watoto wanapata tabu sana halafu unakuja kutoa uhai wa mtu kirahisi sana tujifunze kusoma alama za nyakati endapo unaona sehem uliyopo unapata tabu.

kuua mtu ni dhambi moja mbaya sana siamini kama neema angekosa mtu.
 
Kuna haja ya kuchunguzana kabla ya kuingia kwenye mahusiano Rasmi.

I mean mjaribu kidogo unayemtaka kuona ni mtu wa aina gani maana unaweza ingia kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahihi.
Tatizo mbeleni kuna kubadilika

Ova
 
kwenye maisha kuna changamoto kubwa sana niliwahi kuchukua mkopo na mwanamke ambae angekuwa mke wangu hapo ieleweke hatua zote zilifuatwa ilibaki ndoa tu tuliwekeza ktk...
Well said member. Ndio maana naendelea kumshangaa huyu Bwana Mshana Jr kwa kutetea unyama huu tena kwa makala zake ndefu.
 
Ivi jamaa alishindwa kubomoa paa atoke au mbona jamaa alikufa kizembe sana au alilewa akashindwa kujinasua ...Yan sielewi jamaa alishindwa VIP kuchomoka dume zima.
 
Ivi jamaa alishindwa kubomoa paa atoke au mbona jamaa alikufa kizembe sana au alilewa akashindwa kujinasua ...Yan sielewi jamaa alishindwa VIP kuchomoka ..dume zima ,,
Aisee sikia moto kwa mwenzio ila usikupate, fahamu tu hata ile hewa ukiivuta tu inatosha kutoa uhai.
 
Back
Top Bottom