Siyo kila Mushi ni Machame. Wapo pia kina Mushi wa Kibosho,Marangu na hata SihaNimesoma kwenye taarifa za kipolisi kumbe anaitwa Neema Mushi ni mdada wa kimachame.Punguzeni hasira basi wadada wa kipalestina mnawaharibia wenzenu kuolewa sasa ona
Hahahahah demu alikuwa anamlia timming mwana kwa jinsi tukio lilivyo na huenda alimpa papuchi kwanza na kumtia bwax π! Kisha usiku mnene akamnyoosha mishale ya unane nane.Hahaha inabidi nianze kubadilika aisee...hawa watu sio wakuamini usiku unaweza pigwa hata tofali la kichwa, na pombe zetu hizi ndio inakua bye bye
Nitag katika huo uzi.Kabisa nilifanya uamuzi sahihi kuspeak out humu kinachonisibu na nikasaidika, now niko poa kiasi[emoji848] nawashauri akina Neema wasifanye maamuzi wakiwa na hasira ni majuto baadaye
Kweli lakini halafu kumbe Haitwi Neema kama ITV ilivyotangaza anaitwa Grace Mushi.Siyo kila Mushi ni Machame. Wapo pia kina Mushi wa Kibosho,Marangu na hata Siha
Sijui jinsi ya kutag mkuu btw ilishapita now nipo ok, usijenikumbusha machungu bureNitag katika huo uzi.
Ok! Usijali ndugu.Sijui jinsi ya kutag mkuu btw ilishapita now nipo ok, usijenikumbusha machungu bure
Wadada tunafeli wapi.sijuiNi busara kujiepusha kuamua chochote ukijawa na hisia.
Kwa hiyo wanaume tunawindana na wanawake ?!! π€£
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]...Watateseka Sana. Kwa tunavyowsjua ndugu watakaowachukua na kukaa nao, mtoto akikosea kidogo tu utasikia..."usinisumbue! Mama na mama yako wameuana huko unataka kuniletea Shida mimi!"
Ndugu wa kiafrika waone hivi hivi...
Huyo mwanamke bana sasa mchepuko ni wa kushugulika nae kweli? [emoji849][emoji849]Kuna mwanamke alimuua mchepuko wake kwa visu. Kapelekwa mahabusu ndani ya wiki tu anaanza kujuta.
Ni miaka mitano iliyopita. Bado yupo huko lupango ,,natumai sasa kazoea hayo maisha.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ilikuwaje mkuu?Nililishuhudia tukio mwanzo mwisho...aliechomwa ni rafiki yangu mkubwa
Wapole ndo wabaya...bora mapepeKwa upole alokuaa nao neema huwezi amini angefanya kile kitendo...dada mpole na mstarabu sana
Aiiseee wanawake hapana
Kwa maelezo ya neema anasema alimpa kimojaHahahahah demu alikuwa anamlia timming mwana kwa jinsi tukio lilivyo na huenda alimpa papuchi kwanza na kumtia bwax [emoji23]! Kisha usiku mnene akamnyoosha mishale ya unane nane.
Hilo ni somo kwa mabaharia tuliobaki nchini. Demu hatakiwi kukutia pombe kisha ukalala nae ikiwa mko na mgogoro! Ni muhimu kuficha silaha zote zenye ncha kali [emoji23][emoji23][emoji23] ikiwemo panga, bisibisi, kisu hamna namna! Usisahau funguo inatakiwa uzifiche na milango usifunge!
Kwa upole alokuaa nao neema huwezi amini angefanya kile kitendo...dada mpole na mstarabu sana
Aiiseee wanawake hapana
Ni kweliiiWapole ndo wabaya...bora mapepe
Kimoja si unajua kinavyolevya hasa ukiwa umeoza tilalila yani usingizi wake unakuwaga mzito unaweza ukabebwa na kulazwa barazani nje ya nyumba na usistuke!Kwa maelezo ya neema anasema alimpa kimoja
Huo unyama angekua kafanya mwanaume hakuna ambae angemtetea ila kwa kuwa ni mwnamke tukio linapunguzwa punguzwa ukubwa kwa utetezi kama huu
Mkuu, wanaume tumezoea kupambana na tunafahamika kwa kukabiliana hali yoyote itakayojitokezaHuo unyama angekua kafanya mwanaume hakuna ambae angemtetea ila kwa kuwa ni mwnamke tukio linapunguzwa punguzwa ukubwa kwa utetezi kama huu
Yes yes mademu wapole halafu huwa wana roho mbayaa mnoo[emoji848]Afadhali wanaoongea kuliko hao wapole. Muongeaji akivurugwa anasema, wapole wanapanga mashambulizi kimya kimya