Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Hakika kabisaaa babuuuh.
 
Zinaa huwa mbaya Sana watu tu huwa hawaskii.
 
Duuuuh basi kuna kitu kikubwa zaidi, mmmmh ila
 
Makubwa haya tena khaaaaah
 
Sikilizia povuuu la wanaume humu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji14]

Wanawake sasa wameamka, huu ndo uanamke wa shoka, sio kuja kulia lia humu sijui napigwa, sijui nanyanyaswa! Piga petrol[emoji16][emoji16]
Nakazia hapa, ni kuwasha kiberiti tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] mkuu tulia kwanza...ya magunia imexpire hiyo

Habari ya mjini ni petrol

Jokes aside....ukiona mpaka mwanamke kafikia hatua hiyo ujue yalimfika hapaa, huwa sisi ni wavumilivu sana sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuuh inaogopesha sana.
 
Hamiwezi jua alipitia mateso kiasi gani hadi kufanya hivyo. Kuna wanaume wanajua kutesa wanawake kisaikolojia hadi ujiulize kama alizaliwa au aliokotwa
Hata kama aliteswa siyo kibali cha kumuua mzee wa watu. Mama hakufikiria hata kuhusu watoto. Yeye naona alikuwa anatumia akili za kojoleo lake kutenda hilo tukio. Mwisho wa siku attendance kuwa chakula cha bwana jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…