Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

Usimletee Malaya ubabe haangalii cheo cheo kazini kwako (nimesema sijamaanisha) cheo chako usikipeleke bar usikipeleke kwa Malaya Malaya analiwa na kila mtu ukishamla mlipe usimfanyie ubabe atakuitia wababe wakumalize
Ulikomferm kuwa chanzo ni Malaya?
 
Hakuna Cha code. Polisi inahusika na mauaji.
Hivi kama mtu siyo muhalifu kwa nini ukatae kushirikiana na jeshi la polisi kwa kuwapa kitu wanacho kiomba,tena kiko kwenye uwezo wako!? Hata ukiona Mume/Mke kamuwekea mwenzie code ujuwe kuna uhalifu ndani ya ndoa unaendelea!!
 
Huna lolote. Kujipa ujiko usiokuwa nao
Nyie ndiyo mnanilazimisha kua mi ni msemaji wa jeshi la polisi, ndiyo maana nauliza ni wapi nimejitambulisha kua mi ni msemaji wa jeshi la polisi!? Msinilishe maneno,naomba mjikite kwenye mada iliyopo mezani tu!! Alafu kumbe kua msemaji wa jeshi la polisi ni kua na ujiko!!?basi mi nilikua sijui hilo, asante kwa kuniambia!!
 
Huyu ndiye Askari J.3297 PC.BARNABA ANDREA MHONYA
20241007_070147.jpg
mkazi wa Chamazi aliyeuwawa kwa shabulio la kisu maeneo ya bar ya Kitaa Cheupe Mbagala.

Advance kasoma Umbwe boys na alifaulu kwa Div 1,

Chuo Kikuu kasoma Ardhi University Bachelor of Science in Accounting and Finance hadi mauti yanamkuta, alikua anasoma Masters.

Mwaka 2022 akajiunga na jeshi la Polisi na baada ya mafunzo alikuwa akihidumu kama mhasibu wa polisi kanda maalumu ya kipolisi Temeke.

Marehemu hakuwa ameoa wala kupata mtoto enzi za uhai wake.

Kwa kuwa washambuliaji/mshambuliaji hakuchukua chochote kutoka kwake, inaleta hisia kuwa tukio hili lilikuwa ni la kulipiza kisasi.

Natuma salamu za pole kwa uongozi wa jeshi la polisi kwa kumpoteza askari msomi.
Credit: Fortunatus Buyobe
 
Back
Top Bottom