Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"

Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa

Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji

ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
 
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"

kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa

Unaumwa wewe siyo bure
 
Labda Dsm ya koromije
 
Kumekucha Salama
Mazuzu Ndiyo Hao Nao Kama Mnavyowaona 😶😏
 
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"

kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa

Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji

ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani

Title yako imepwaya

Ilipaswa ufanye comparison kidogo

Isomeke: Jiji la Dar linamuhitaji Makonda kuliko Makonda anavyolihitaji Jiji hilo.

Kisha mwishoni unaweka namba zako za simu wala jina lako usiliandike
Hizo namba zinasaidia sana for future and office use

Mkuu huwezi kujua hii dunia ni ya Mungu vitu ni vya hao jamaa

Asante
 
Title yako imepwaya

Ilipaswa ufanye comparison kidogo

Isomeke: Jiji la Dar linamuhitaji Makonda kuliko Makonda anavyolihitaji Jiji hilo.

Kisha mwishoni unaweka namba za simu wala jina lako usiliandike
Hizi namba zinasaidia sana for future and office use

Mkuu huwezi kujua hii dunia ni ya Mungu vitu ni vya hao jamaa

Asante
Mwisho niweke namba ili iwaje
 
Back
Top Bottom