Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Mkuu, jamaa anatukumbusha kuwa, hata shetani ana wafuasi.Aaaaa wewe, yule makonda mtoa roho za watu kwa lazima, kabla ya Israel sign! Makonda hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, jamaa anatukumbusha kuwa, hata shetani ana wafuasi.Aaaaa wewe, yule makonda mtoa roho za watu kwa lazima, kabla ya Israel sign! Makonda hapana
Mbona unasema kwa uwingi..,.tuta. unaisemea na mizimu ya kwenu??Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.
Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.
Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.
Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.
Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Isemee nafsi yako, usijumuishe wengine kwenye mawazo yako, yao yapo tofauti na yakoMh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.
Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.
Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.
Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.
Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Ungekuwa ulimpoteza ndugu yako kwa mkono wa jamaa huyo usingesema umemiss amshaamsha!!!Tushamiss zile amsha amsha[emoji23][emoji23]
Jiji limepoa mno
Mkuu hebu jitizame kuanzia chini mpaka juu kisha jilinganishe na Makonda uone kama mnaendana.
Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Huyu ni mwamba kweli kweliMwisho niweke namba ili iwaje