chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mmeanza kupeana ulaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mahaba yako kwa Bashite ndio utake kuyafanya kuwa msimamo wa wana Dar?Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Limepoa kivipi! Makonda hakuna alichofanya kikafanikiwa. Tumwache apumzike huko aliko.Jiji limepoa mno[emoji23][emoji23]
Kii Ujumla KondaBoy bado anahitajika sana kwenye Serekali ya Magufuli,ili awaakimbize na kuwavuruga wale Viongozi wazembe! Maana Dogo alinivurugia wale wa Bunge Dodoma, mpaka nikacheka mwenyewe kwenye ule mnyukano!!Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Punguza wivu kidogo, aliyepewa kapewa!!Kwani ni lazima awe kiongozi ndio aishi?!
atafute kazi nyingne ya kufanya aache mambo ya kubebwa kama mademu wapewa ofa za bia!!!.
Na Sasa anarudi tena, wwe jiandae kuondoka DSM!!Kakutuma uje ulete ubashite wenu hapa. Huyo labda mpeleke kwenu akawaongoze.
Mpeleke nyumbani kwenuKiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa huu mheshimiwa Paul Makonda "Bashite"
Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa
Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji
ilikuwa haiwezi pita mwezi bila kuanzisha shughuli yoyote ile yenye maslahi kwa wanadaslamu huku ikiwaumiza wapinzani
Mkuu hebu jitizame kuanzia chini mpaka juu kisha jilinganishe na Makonda uone kama mnaendana.
Kama unamkumbuka mwite aje aongoze familia yako na ukoo wenu!Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.
Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.
Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.
Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.
Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Mnamkubali wewe na nani? Sijemee nafsi yako, usitumie uwingi wakati huna uhakika na hao unaofikiri wanamkubali ni wangapi, ni watu wa aina gani na wako wapi?Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.
Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.
Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.
Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.
Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Aaaaa wewe, yule makonda mtoa roho za watu kwa lazima, kabla ya Israel sign! Makonda hapanaMh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.
Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.
Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.
Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.
Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
Si ndio huyu? Ze presidential matirio himself!!! Ameanza kuchanganyikiwaMh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.
Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.
Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.
Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.
Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.