Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

Yaani mahaba yako kwa Bashite ndio utake kuyafanya kuwa msimamo wa wana Dar?

Mfate huko kwake usilete ujinga hapa.
 
Du ndio kabisa atachelewa kukumbukwa katika teuzi mpya. Magufuli hachaguliwi,kuna watu walisema Dr.Kimei atakuwa full minister wa finance,mara vuu kamrudisha Dr Mpango.
 
Kii Ujumla KondaBoy bado anahitajika sana kwenye Serekali ya Magufuli,ili awaakimbize na kuwavuruga wale Viongozi wazembe! Maana Dogo alinivurugia wale wa Bunge Dodoma, mpaka nikacheka mwenyewe kwenye ule mnyukano!!
 
Kwani ni lazima awe kiongozi ndio aishi?!
atafute kazi nyingne ya kufanya aache mambo ya kubebwa kama mademu wapewa ofa za bia!!!.
Punguza wivu kidogo, aliyepewa kapewa!!
 
Mpeleke nyumbani kwenu
 
Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.

Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.

Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.

Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.

Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
 
Kama unamkumbuka mwite aje aongoze familia yako na ukoo wenu!
 
Mh. Paul Makonda bado tunakukubali kwa uongozi uliotukuka tutafurahi sana siku ukipewa nafasi tena kutuongoza watanzania.

Makonda wewe ni kiongozi kijana lakini ni shupavu.

Wewe ni kiongozi kijana lakini ni jasiri.

Wewe ni kiongozi kijana lakini una convincing power.

Hongera Mh. Makonda, karibu tena utuongoze watanzania.
 
Mnamkubali wewe na nani? Sijemee nafsi yako, usitumie uwingi wakati huna uhakika na hao unaofikiri wanamkubali ni wangapi, ni watu wa aina gani na wako wapi?
 
Aaaaa wewe, yule makonda mtoa roho za watu kwa lazima, kabla ya Israel sign! Makonda hapana
 
Si ndio huyu? Ze presidential matirio himself!!! Ameanza kuchanganyikiwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…