Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

Mbona unasema kwa uwingi..,.tuta. unaisemea na mizimu ya kwenu??
 
Tofauti ya Makonda na Sabaya ni moja tu: Makonda hajahojiwa na vyombo husika.
 
Isemee nafsi yako, usijumuishe wengine kwenye mawazo yako, yao yapo tofauti na yako
 
Issue ya wajane na waliyotelekezwa,showroom zote kuhamishwa kigamboni iliishia wapi

Ova
 
Kuna kujipendekeza kwingine hata mpambe wa bi harusi hafanyi hivyo ukimwitaji kakae kwake
 
Mwisho niweke namba ili iwaje
Huyu ni mwamba kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…