Una hoja mkuu, ila jiji linakua hili kuna kipindi pori litatoweka jijiniSema na kuishi mbali sana jau,
Hapo mkuu kama hio ratiba ni kweli nakuonea huruma,
Sometimes tunakimbilia viwanja vya bei rahisi ila mara mia ulipe pesa kubwa upate sehemu nzuri sio kujificha huko porini.
Mikoa yote ni choka mbayaKama mkoa gani mkuu?
Mkuu una matatizo ya akili,hivi unajua hata mikoani Kuna watu wanamaisha mazuri ambayo wengine wa dar wanayaota tu? Maisha ni popote, status doesn't pay bills.Mikoa yote ni choka mbaya
pole chiefNaandika hii mada nikiwa na uchungu moyoni.
Sasa hivi nina miezi kama 4 hivi natumia Daladala kwenda na kurudi kazini na mara chache, tena chache sana huwa natumia bodaboda kazini mpaka home, home mpaka kazini.
Kutoka Nyumbani mpaka kazini nikipanda bodaboda direct ni elfu 15. Go and return inalala 30000 sh
Nikipanda bodaboda 1500 sh. mpaka kituo cha Daladala na nikipanda Daladala moja mpaka kazini awali nilikuwa natumia 1000 sh. Jumla 2500 sh, kwenda na kurudi natumia sh. 5000 kamili, nikipanda gari mbili nilikuwa natumia kama elfu 6 hivi. Pesa ambayo himilivu kwangu.
Ila sasa nikipanda Daladala itanilazimu nitumie takribani 7000 kwenda na kurudi.
Hapo ukiweka na chakula na maji around 5000.
Kwahiyo Mimi tu inabidi nitumie angalau elfu 12 kwaajili ya kazini. Familia kwa sasa hali ilivyo kwa siku ni sh. 10 -20 hapo mahitaji yote muhimu kama gas, mkaa, chumvi, Michele na unga viko ndani. Kama havipo lazima uangushe 20.
Kwahiyo inanilazimu kwa siku nitumie kuanzia elfu 30.
Vipi kwa anayelipwa laki 2.5 au laki tatu kwa Wahindi?
Vipi anayelipwa elfu 7 kiwandani kwa siku?
Kipato changu kidogo nahisi kupata msongo wa mawazo.
Kwa mwezi natumia karibu milioni 1 kwa chakula nyumbani , kazini , usafiri na dharura ndogondogo.
Hapo ukiweka dharura kubwakubwa kama kufiwa na ada za shule watoto mwezi mmoja naangusha zaidi ya milioni.
Serikali ipunguze nauli, watu wanashindia mihogo makazini Ili kubana nauli za kurudia nyumbani jioni.
Hakuna mtumishi wa umma au mwajiriwa wa sekta binafsi Dar es Salaam anaweza kununua kiwanja center labda awe fisadi. Wengi tunajuchanga tunapata viwanja Chanika, Bagamoyo, Kisarawe, Pugu n.k.
Kwa nauli hizi Ili ugeuke na gari upate seat lazima ujipange. Unakuta kila ukipiga hesabu 20 imeenda kwa usafiri na misosi.
Umaskini utaendelea kutupiga maana hatuna mtetezi.
Unakoma Dar ili ukiulizwa unaishi wapi useme Dar,upate Status ya kujifariji MkuuMikoa yote ni choka mbaya
Kwa hiyo apige pass ndefu?Unajitafuta kimaisha katika mazingira hayo unakula chakula cha mchana ili ugundue nini.
Vipi anaekaa Bunju halafu anafanyia kazi kariakoo au posta?sasa mkuu huko Kimara na Maramba si ni yale yale tu, bora useme Keko, Chang'ombe, Magomeni, Kinondoni, Manzese nk.
Lakini pia mkuu, hakuna anayependa kuishi Kibaha ndanindani, umasikini mkuu, jamii ya kubwa ya Watanzania ni masikini.
Huyu mwamba kama ameamua kukaa mashambani sijui kwa nini analalamika! Nilitegemea aseme anaziba mapengo mengine kwa kulima ili mahitaji mengine yatoke shambani. Kama mke hana kazi kwa nini anamwacha afuge tako tu badala ya kulima mazao madogo madogo hapo nyumbani? Ni aibu familia iko Kibaha inashindwa hata kuweka mchicha!Dar hii wapi watu wana maeneo makubwa? Viwanja vyetu ni hivi hivi 400sqm -700sqm,
Halafu kama una madeal mengi huko kibaha basi utakuwa huna haja ya kulalama nauli
Vituo vyote vikubwa vya polish unavyovijua wewe kwa hapa dar au nje y dar wanauza pikipiki.Mzee kituo Gani cha polisi nikanunue boda boda
Hizi ndio roho za kimasikini za wabongo tunazozisema kila siku yani ukipiga hesabu ya matumizi ya mtoa mada kwa haraka haraka ni kama 1M kwa mwezi, je vipi kama mshahara wake ni 1.2M huo ni mshahara wa kawaida sana watu wengi tu humu maofisini wanalipwa hiyo, sasa sijui wewe mwenzetu ulijua huo mshahara ni mkubwa sana na wanaolipwa ni wachache au ulijua wanaotumia jf wote ni masikini sanaJF kila mtu matawi..et natumia 15k kwenda kazini na kurudi mara chache dalaladala huwa natumia daladala..humu mnatupanga sana kama una uwezo wa kutumia 15k unalalamika nini hiyo nauli? Au ndo kipato chako laki 2.5 unajifanya unasemea wengine?
Ukiwa na usafiri wako ndo nafuu au unazidisha gharama?Hili suala wengi hawazingatii, wewe unalipwa laki tatu halafu unakaa kilomita 45-50 mbali na kazini utakuwa maskini mpaka uzeeni... kaa mbali kama una usafiri wako nje ya hapo unazingua
Mkuu,Boda boda mpya 1lt inapiga 50Km
Ikishakuwa chakavu inapiga 35-42Km
Ukienda kuibana cableta inapiga 55-60Km
Kwa rate hiyo mtu unaweza kukaa bunju na kufanya kazi kariakoo kwa Lita 1 tu go and return ambayo ni 3200 per lita.
Kwa common sense kutoka bunju had kariakoo huwezi kumkosa abiria hata 1 ambaye ukimuambia akupe buku 5 au buku nne hawezi kukataa.
Sasa ukipiga hesabu umeenda na kichwa kimoja kakupa elfu 4 means kakulipia hela ya mafuta.
Kurudi umepata kichwa kingine kakupa buku 4 means umepata hela ya msosi kazini.
Kwa mantiki hii hautakuwa na kuhangaika na mshahara wako.
Note. Service za boda boda siyo ghali na kubwa kinachotakiwa ni kubadilisha oil kila baada ya week 2 au siku 10. Na hiyo oil ni buku ,8-10
Kwa boda boda ambayo private haiwezi kupata hitilafu.
Bei ya boda boda, polisi unaweza kuuziwa kuanzia laki 5-9.
Za mtaani kuanzia laki 8-2M
Ukienda dukani jipange na 2.6-3.1M
Kupanga ni.kuchagua.
si ununue baiskeli...!
Ahamie eneo karibu na kazini mbona kama Dar vyumba bei rahisi viko kibao sehemu ambayo unapanda basi moja tuSema na kuishi mbali sana jau,
Hapo mkuu kama hio ratiba ni kweli nakuonea huruma,
Sometimes tunakimbilia viwanja vya bei rahisi ila mara mia ulipe pesa kubwa upate sehemu nzuri sio kujificha huko porini.
Wengine shida ujuaji mwingi anataka lazima ajengeHili suala wengi hawazingatii, wewe unalipwa laki tatu halafu unakaa kilomita 45-50 mbali na kazini utakuwa maskini mpaka uzeeni... kaa mbali kama una usafiri wako nje ya hapo unazingua
Kwahyo umeona mfano wako uuweke kwa mfipa tu mkuu unatuonaje wa kwa mfipa?? [emoji1787][emoji1787]Sometimes tuache kulalamikia serikali kila siku,
Wew unajua una kazi ya kudumu kkoo,
Unaenda nunua na kujenga nyumba huko kibaha kwa mfipa tena ndani kabisa, unataka serikali ifanyaje ?
Sometimes tusikwepe majukumu yetu na uzembe wetu wa kupiga hesabu, mtoa mada angejua maisha yake pengine angejichanga zaidi apate kiwanja karibu na kazini
Sio powa ndomaana watu wa dar ni wagumu kutuma hela kumbe hali iko tight..Duh hii hatari sasa tunakoelekea ni pagumu sana
Kwa hiyo ile ilikuwa fix, mbona kenya waliongezwa asilimia 21 huku tukaambulia 0.23....Kwa hapa bongo kuongeza mshahara kwa23% haiwezekani🤣🤣🤣🤣🪑💺