Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Bodaboda wanafunga honi za Harrier Lexus, yaani ni shida
Pia boda zimekua nyingi sana dar, hivi baada ya 5years hali itakuaje kwa wingi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda wanafunga honi za Harrier Lexus, yaani ni shida
Pia boda zimekua nyingi sana dar, hivi baada ya 5years hali itakuaje kwa wingi wao
Kwakweli !Dar haina utulivu usipokerwa na makelele utakerwa na joto au foleni za ajabu ajabu.
Sasa kama hizo kelele zitakuwa hivyo hivyo kama ilivyo mchana hao wanaoishi K.koo wataweza kulala na kupata usingizi ??!Zimeshaanza kufanyika ni 24 hrs biashara non stop
Sijaona Matrekta hapo !
Usafiri ukiboreshwa miundombinu ikiwa safi hata unaweza ukaishi Ikwiriri na kazi ukafanyia Dar !Wenzako wenye hela wamesogea Mbweni.
Hata iliyokuwa mitaa ya kishua Dar zama hizo, watoto wanaweza cheza mpira barabarani siku hizi dała dała zinakatiza.
Ukitaka amani sogea nje, akina sisi tusio na uwezo wa kununua Mbweni, utaratibu ni Kibaha.
Umesahau na wanaohubiri dini, hii yote ni kutokana na kuwa na rc mshamba.Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa.
Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita biashara yake non-stop kuanzia asubuhi saa mbili hadi usiku au jioni mida ya kufunga kazi.
Wakati huohuo kuna magari yanapita mabarabarani yanapiga muziki kwa sauti kubwa ajabu eti yanapromote makampuni fulanifulani. Wakati mwingine yanaweka kambi masokoni au sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na kufungulia maspika yake ya muziki. Yaani ni makelele tupu mijini.
Kwa sasa ukiwa jijini Dar es salaam, unafanya mishe zako hakuna utulivu, huwezi kuconcentrate.
Ukiacha hilo, utakutana na bodaboda nao wamefunga mziki mzito, wanapiga singeli mtindo mmoja.
Hapo sijazungumzia Bar zinazofungulia muziki non stop katika makazi ya watu.
Noise pollution Dar ni kubwa mno imesababisha watu waumwe vichwa, uwezo wa kusikia kupungua, msongo wa mawazo, Quality of life imeshuka mno na sababu mojawapo ni Makelele mtindo mmoja.
Serikali haina budi kufanya yafuatayo.
1. Kuzuia kila mwenye biashara yake masokoni kuwa na kimtambo cha kupiga kelele kuita wateja. Hivi vispeaker vinafanya maisha ya ufanyaji shughuli masokoni kuwa headache
2. Serikali ipige marufuku kwa bodaboda kufunga speaker kwenye mabodaboda yao, kwanza haya mamiziki wanayofungulia ni hatari kwa usalama barabarani.
3. Serikali ithibiti haya matangazo ya magari ambayo huzunguuka mitaani huku wamefungulia muzik kwa staili ya Disco.
4. Miziki kwenye mabar iangaliwe upya, limit ya kiwango cha sauti (decibels) kiwekwe ili kupunguzia wananchi adha.
Tatizo kila mtu anafikiria kutajirika kwanza na kwenda kujenga mbweni!Usafiri ukiboreshwa miundombinu ikiwa safi hata unaweza ukaishi Ikwiriri na kazi ukafanyia Dar !
Hahahahaha 🤣Hapo bado wale "maji makubwa mia tano ya baridi mia sita yanapatikana hapa"
Isije ikawa unamzungumzia LamomyUmenikumbusha dada mmoja hivi pale kariakoo anauza vijora huwa anazunguka kama mwanga na kispika chake 😃😀😀😀😀
Kaongea ukweliWamo humu watakushambulia balaa
Hao nao wana balaaUsiisahau misikiti na makanisa.
Waguse kote Ila sio hapo mkuu, msikiti ni achana ya dakika mbili, mara tano Kwa siku.Usiisahau misikiti na makanisa.
Sahihi kabisa na ndiyo maana tatizo la afya ya akili linazidi kuongezekaKaongea ukweli
Tumekua na Majini ya udalali, kelele na vurugu
Dar ni Jiji la biashara kuliko majiji kama Dubai na Tokyo?Ushaambiwa jiji la biashara then unalalamika kelele.
Hamia Mtwara/Lindi ambako kumetulia.
Dar ina wakazi 6M, wewe lonely ndo hupendi kelele.
Mkuu hujakaa karibu na ile misikiti ya "swalaa, swalaa, kitanda chako ndiyo kaburi, shuka ndiyo sanda yako, swalaa swalaaa" wanakupigia makelele saa nzima sala ya alfajiri, bila kujali una imani gani?Waguse kote Ila sio hapo mkuu, msikiti ni achana ya dakika mbili, mara tano Kwa siku.
Which means is not a problem.
Kanisa ni sehem takatifu, Taifa letu linahitaji maombi, ili kutoka katika hatua tuliopo.
Bila hayo maombi hata Amani hii isingekuwepo
Tobaa 🫢 🫢 🫢 🫢 😎😅2. Serikali ipige marufuku kwa bodaboda kufunga speaker kwenye mabodaboda yao, kwanza haya mamiziki wanayofungulia ni hatari kwa usalama barabarani.
Hata Congo, Yemen, Palestina na Sudan wanaomba sana.Waguse kote Ila sio hapo mkuu, msikiti ni achana ya dakika mbili, mara tano Kwa siku.
Which means is not a problem.
Kanisa ni sehem takatifu, Taifa letu linahitaji maombi, ili kutoka katika hatua tuliopo.
Bila hayo maombi hata Amani hii isingekuwepo
Na bado! Saa100 Hana ustaarabu na umakini kwenye uongozi!Siku hizi ukitembea katika jiji la Dar es salaam, hali imekuwa si hali ni makelele mtindo mmoja. Hakuna utulivu kabisa.
Ukienda masokoni kila mwenye kibanda chake ana spika na rerding inayoita biashara yake non-stop kuanzia asubuhi saa mbili hadi usiku au jioni mida ya kufunga kazi.
Wakati huohuo kuna magari yanapita mabarabarani yanapiga muziki kwa sauti kubwa ajabu eti yanapromote makampuni fulanifulani. Wakati mwingine yanaweka kambi masokoni au sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu na kufungulia maspika yake ya muziki. Yaani ni makelele tupu mijini.
Kwa sasa ukiwa jijini Dar es salaam, unafanya mishe zako hakuna utulivu, huwezi kuconcentrate.
Ukiacha hilo, utakutana na bodaboda nao wamefunga mziki mzito, wanapiga singeli mtindo mmoja.
Hapo sijazungumzia Bar zinazofungulia muziki non stop katika makazi ya watu.
Noise pollution Dar ni kubwa mno imesababisha watu waumwe vichwa, uwezo wa kusikia kupungua, msongo wa mawazo, Quality of life imeshuka mno na sababu mojawapo ni Makelele mtindo mmoja.
Serikali haina budi kufanya yafuatayo.
1. Kuzuia kila mwenye biashara yake masokoni kuwa na kimtambo cha kupiga kelele kuita wateja. Hivi vispeaker vinafanya maisha ya ufanyaji shughuli masokoni kuwa headache
2. Serikali ipige marufuku kwa bodaboda kufunga speaker kwenye mabodaboda yao, kwanza haya mamiziki wanayofungulia ni hatari kwa usalama barabarani.
3. Serikali ithibiti haya matangazo ya magari ambayo huzunguuka mitaani huku wamefungulia muzik kwa staili ya Disco.
4. Miziki kwenye mabar iangaliwe upya, limit ya kiwango cha sauti (decibels) kiwekwe ili kupunguzia wananchi adha.
Unawwezaje kusali kimya kimya??Hata Congo, Yemen, Palestina na Sudan wanaomba sana.
Halafu hamuwezi kuomba bila kelele??