Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
- Thread starter
-
- #61
kuan wakati Dar es salaam huwa nakuja, kwa basi na nikifika hapo nakuwa sina usafiri binafsi. sometimes badala ya bolt naamua kupanda mwendokasi. aisee, watu wana shida, sura zinatia huruma, unaona kabisa hawana uhakika wa maisha, wana hasira, ukimkanyaga bahati mbaya omba msamaha haraka, la sivyo kinanuka. njooni mikoani huku mtafute maisha na mitaji pimbi nyie. harakati kibao, matokeo sifuri.Lkn hii tabia ipo karibu miji yote mikubwa duniani. Sehemu yenye matajiri wengi ina masikini wengi pia wa ajabu
Taja mkoa unaoishi tuone namna mlivyo matajiri huko.Bila kusumbuka ukitaka kujua DSM imejaa maskini igawe kijiografia na angalia places character na watu wake, DSM asilimia kubwa imejaa maskini ndiomana Tanzania ipo miongoni mwa nchi fukara Duniani, Anza na wilaya zake Kisha angalia demographics, social services, economic dimensions, na parameters kibao za kiuchumi dsm ni mkoa wa hovyo kwa umaskini, statistically the few shoulders the majority.
DSM umaskini umetapakaa kila Kona
Yes upo sahihi kabisa ukitaka kumaizi au kugundua umasikini wa watu wa Dar moja kati ya viashiria nenda kwenye vituo vya Mwendo kasi watu wamejazwa kwenye mabasi kama inzi. Au mpishane kauli kidogo na mtu wa dar utaporomoshewa matusi balaa. Watu wamechanganyikiwa wamejawa na stress balaa!kuan wakati Dar es salaam huwa nakuja, kwa basi na nikifika hapo nakuwa sina usafiri binafsi. sometimes badala ya bolt naamua kupanda mwendokasi. aisee, watu wana shida, sura zinatia huruma, unaona kabisa hawana uhakika wa maisha, wana hasira, ukimkanyaga bahati mbaya omba msamaha haraka, la sivyo kinanuka. njooni mikoani huku mtafute maisha na mitaji pimbi nyie. harakati kibao, matokeo sifuri.
Mkuu,Kushobokea Dar ilikuwa zamani kaka! usidanganye watu! Kilichokuwa kinawafanya watu wapende kuhamia Dar ni kukosa huduma za msingi kwenye mikoa yao! Ila kwa upande mwingine bado Dar ndo Dubai ya Tanzania!
Wiki mbili zilizo pita nililazimika kutumia usafir wa mwendokasi kutokea Gerezani kariakoo kwenda kimara......Yes upo sahihi kabisa ukitaka kumaizi au kugundua umasikini wa watu wa Dar moja kati ya viashiria nenda kwenye vituo vya Mwendo kasi watu wamejazwa kwenye mabasi kama inzi. Au mpishane kauli kidogo na mtu wa dar utaporomoshewa matusi balaa. Watu wamechanganyikiwa wamejawa na stress balaa!
Dar ukiwa huna pesa maisha ni magumu mno kuliko moto wa kifuu
ukipita kwenye vituo vya mwendokasi, watu wamenyong'onyeaaa wameshika tama, wamevunjika moyo unaona kabisa huyu anahitaji msaada hana furaha. ndio maana mnajazana kwenye makanisa ya kina mwamposa kuomba miujiza everyday,na hamnawahi kuipata. hivi tangu mwamposa aanze kuwauzia mafuta hawa watu, umasikini si ungekuwa umeisha Dar es salaam kama sio nabii wa uongo yule? angalia tu, wameona makanisa ya uongo ndio kimbilio kwenda kupunguza stress. fanyeni kazi au njooni mikoani mtafute mtaji mkirudi huko na mitaji mizuri mtafanya biashara kubwa na mtatoka haraka.Yes upo sahihi kabisa ukitaka kumaizi au kugundua umasikini wa watu wa Dar moja kati ya viashiria nenda kwenye vituo vya Mwendo kasi watu wamejazwa kwenye mabasi kama inzi. Au mpishane kauli kidogo na mtu wa dar utaporomoshewa matusi balaa. Watu wamechanganyikiwa wamejawa na stress balaa!
Dar ukiwa huna pesa na joto kali maisha ni magumu mno kuliko moto wa kifuu
Wale wapo jehanum hawajijui tu.Wiki mbili zilizo pita nililazimika kutumia usafir wa mwendokasi kutokea Gerezani kariakoo kwenda kimara......
Nilijikuta nachukia Tatizo LETU wabongo ni poor menagement Huwa hatuwezi kusimamia vitu.....
Nilishangaa hao raia wa kimara, mbezi na viunga vyake wanapata tabu sanaaa
Wewe kwa kutumia iyo akili yako una saving kiasi kwenye akaunti?[emoji16][emoji16][emoji16]dar akili Yako tuu.
I wish ningekua na jicho la kuziona izo fursa. Kibaya zaidi wanaosema Dar kuna michongo nikiwaomba code wanaanza siasa. Anyway kama ramani zinasomeka upande huo tupeane connection mkuu life limenipiga sanaBora umesema ukweli,jiji lina ramani nyingi sana za kutokea na za kuingilia
Ana mvi tu huyo ambayo pia yanatokana na chakula cha kuombaWewe kwa kutumia iyo akili yako una saving kiasi kwenye akaunti?
mnaishia kusema tu hivyo, kwamba matajiri wakubwa wote wanatoka Dar, ila mifuko yenu bado inato amachozi. hizo ni pesa zao sio zako. na watu wa mikoani ambako raw materials zipo wanaweza kuwa wanapata pesa zao kuliko wewe. hao matajiri wote, mfano Mo, viwandani kwao huko mshahara wanaowalipa ninyi watu wa Dar, ni masikitiko. mnapigwa na jua, hata hela ya maji sometimes inawapiga chenga, ila mnajifariji na magorofa, magari mazuri na utajiri wa wengine. sisi hatuongelei hao wanaoishi masaki,oysterbay, na middle class za mikocheni na mbezi etc, hao hawaishi Dsm hata kama wapo dsm. wanaishi dunia ya pili. tunakuongelea wewe unayeishi kimara, kibamba, gongolamboto, mbagala, manzese, magomeni, kigamboni na kwengine, wewe ambaye badala ya kupanda gari yenye kiyoyozi, imesimama kwenye kituo cha basi umepgiwa na jua hata hela ya kitambaa cha kufuta jasho huna, hela ya pikipiki huwezi kumudu kila siku mwezi mzima, hela ya bold au uba huwezi kumudu. unagombania basi na bado unajipa moyo kwa utajiri wa wenzako.Matajiri namba 1 had 10 Duniani wanatoka nchi tajiri.
Matajiri namba 1 had 10 nchin wanatoka Dar.
Umeelewa au bado?
Labda Kama ushauri wako Una walenga waajiriwa.
Nikujuze kitu kimoja
Wafanyabiashara waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
Wasanii waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
Wanamichezo waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
Wanasiasa waliofanikiwa zaidi nchini wapo Dar
mnaishia kusema tu hivyo, kwamba matajiri wakubwa wote wanatoka Dar, ila mifuko yenu bado inato amachozi. hizo ni pesa zao sio zako. na watu wa mikoani ambako raw materials zipo wanaweza kuwa wanapata pesa zao kuliko wewe. hao matajiri wote, mfano Mo, viwandani kwao huko mshahara wanaowalipa ninyi watu wa Dar, ni masikitiko. mnapigwa na jua, hata hela ya maji sometimes inawapiga chenga, ila mnajifariji na magorofa, magari mazuri na utajiri wa wengine. sisi hatuongelei hao wanaoishi masaki,oysterbay, na middle class za mikocheni na mbezi etc, hao hawaishi Dsm hata kama wapo dsm. wanaishi dunia ya pili. tunakuongelea wewe unayeishi kimara, kibamba, gongolamboto, mbagala, manzese, magomeni, kigamboni na kwengine, wewe ambaye badala ya kupanda gari yenye kiyoyozi, imesimama kwenye kituo cha basi umepgiwa na jua hata hela ya kitambaa cha kufuta jasho huna, hela ya pikipiki huwezi kumudu kila siku mwezi mzima, hela ya bold au uba huwezi kumudu. unagombania basi na bado unajipa moyo kwa utajiri wa wenzako.