Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Kuna mkuu mmoja alikuwa anazungumzia mazingira. Nikamwambia watu walienda kwa macheni sio kwamba hakukuwa na baa nyingine safi na zenye huduma ya vinywaji kama macheni. Bali wengi walienda pale kwa mipango na madili mbali mbali.

Ile ndo ilikuwa sehemu maarufu kwa mission town wote.
 
Swadakta kabisa mkuu.
 
Ndivyo ilivyokuwa sema watu hawakuwa na uzoefu na maeneo yale, wanasimuliwa tuu. Pale palikuwa ni kijiwe cha misheni town na wajanja wengi walikuwa wanapanga mipango na connection zao mitaa ile back in the days.
 
Kwa macheni kitu gani, Unaijua maggot bar wewe?
 
Vipi familia kaiacha kwenye hali nzuri au na mali zilipuputika ? Maana kwa stori hizi ni wazi jamaa alipiga hela sana
Ndo hivyo mkuu ilikuwa bata batani. Alipiga hela na yeye akapigwa hela.
 
Uchambuzi wako mzuri sana mkuu. Hakuna mtu mwenye akili ambae hawezi kuelewa ulichoandika.
 
Ndivyo ilivyokuwa sema watu hawakuwa na uzoefu na maeneo yale, wanasimuliwa tuu. Pale palikuwa ni kijiwe cha misheni town na wajanja wengi walikuwa wanapanga mipango na connection zao mitaa ile back in the days.
Kweli kabisa mkuu, ulichoandika ndio kilichokuwepo.
 
Kwa macheni kitu gani, Unaijua maggot bar wewe?
Mpaka hapo unapoandika tayari unaijua kwa macheni ndio maana umeifananisha na hiyo maggot.

Lakini mimi na wengine wengi humu JF hatuijui hiyo maggot, kwahiyo umaarufu wa macheni japo haipo kwa sasa ni mkubwa kuliko hiyo maggot ambayo bado ipo kwenye prime time yake. Huo ndio ukweli mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…