Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Kama hawataki machafuku, Rais na CCM wafuate katiba na kutenda haki , mbona rahisi tu
 
Tayari utawala wa awamu ya sita unarudi kulekule walipofeli utawala wa awamu ya tano, yaani kushindwa kuvumilia hata haki ya kukusanyika Katika ukumbi.
CCM ni ileile, hakuna kitakacbobadilika!!!!!
 
Mwanzo mzuri wa rais, hawa ni kutokuwachekea...
 
Jana Lissu alisema Mwendazake amekufa lakini waliokua wakimsaidia kutesa na kuumiza watu hawajafa. Bado wapo. Wanaweza kuwa wameficha makucha tu kwa muda lakini wakishamsoma mama, watarudi tu.
Na hiki ndicho kilichotokea. Polisi wenye silaha wamezingira ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni kuzuia hafla ya chakula cha jioni iliyoandiwa na Baraza la wanawake la Chadema (BAWACHA)....
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wazee wa SIASA za matukio tena....

Kuna wakati mnawalaumu tu POLISI..
Unapoeleza siasa za matukio huwa mnamaanisha nini sasa?Kila jambo liendelealo hapa duniani ni tukio haijalishi nani kafanya au anategemea kufanya.

Kwa hiyo watu wasiongee,wasitende,wasionye,wasikusanyike kuhofia masikini wa akili sampuli yako watasema siasa za matukio?Unajua hata weye unajambajamba hapa ni matukio ya kuzaliwa punguani.Acha kuandikaandika kimatukio.Ukiona matukio acha yatokee.😝😝😝😝😝
 
Muuza uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…