Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Askari hawakutumwa kusimamia SHUGHULI ya BAWACHA... mkuu mbona unaongeza "mbirimbi"?!!!

Askari wako kutimiza majukumu yao waliyoelekezwa kama watakavyokuwepo baadaye pale uwanja wa TAIFA katika mechi ya DERBY YA TANZANIA.....

Majukumu yao ni kusimamia shughuli za wakina mama?

Amandla...
 
Duuuh mnaanza KUTENGENEZA zile SCRIPT zenu mtunzi akiwa yule nguli aliyetengeneza JURASSIC PARK eeee?!!! 🤣🤣
 
Mtaongea mpaka kisandawe safari hii.

Tutashughulikia habari za maendeleo au tutashughulikia mambo ya kijinga??

Ukiona Tanzania inakuwa ya mwisho ungana na Lissu huko alikokwenda. Na ikiwezekana msirudi maana yeye kasema hatorudi mpaka mikutano ya hadhara ya ushoga ianze Tanzania jambo ambalo halitokaa litokee kamwe.
 
🤣🤣
 
Potelea maporomokoni.

Yaani mtu mumtukane tu awaangalie eti kwa kuwa mlidhani ni mcha Mungu?? Never on earth.

Miongoni mwa mafundisho ya mwanzo kabisa mtu anayopaswa kuyapata ni namna ya kutunza heshima yake.

Kuna msanii aliimba "utanipa heshma yangu au nitaichkua kwa nguvu"

Yaani nyinyi watu hamtaki kabisa kuongozwa kistaarabu. Mnataka muongozwe kama mapunda. Sasa si mnaleta undezi?? Hatutaki kuskia vilio pale mambo yakipamba moto
 
Mkuu unawapenda FFU 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣
Mkuu hao jamaa wanakong'oli mno....

Nakumbuka walimkong'oli kaka yetu mmoja kiharakati kipindi akiwa Kiongozi wa CHUO KIKUU mpaka kushindwa kutembea na kutambaa Kama NYOKA kule HESLB....Leo ndugu huyo ni "DC" mikoa ya kusini ha ha ha ha

#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…