Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Walikuwa na kibali au ilikuwaje kwa kuwa ipo wazi shughuli Kama hiyo lazima ipate baraka kutoka kwa afisa utamaduni au walienda hapo hekima garden kula tu Kama watu wengine?
 
Mbowe kivipi kwenye shughuli ya wanawake!

Bebez fly to KIA?
 
Shughuli mwisho saa 6 siku hizi hatukeshi kabisa.🤏[emoji2535][emoji276]
 
Hao kina mama wanatelekeza familia zao wanakimbilia siasa usiku ;

Ipo haja ya kuwakumbusha majukumu yao ya kifamilia.
 
Bro unapotumia ANDIKO la mtu uwe una cite..
MALISA GJ.

STOP PLAGARISM

Punguza wizi wa akili za watu, jishughulishe kujitafakarisha.

#YNWA
 
RBC ndugu yangu unaweka visasi moyoni eee?!!

Haya mkiichukua nchi mkatufunge katika gereza lililoko juu mlimani Kilimanjaro.....

Tatizo unakuwa so emotional kwa vitu vinavyotaka uhalisia tu.....
Mama ameshaanza kuweweseka kama alivyokua Jiwe mwendazake.
 
CHADEMA ndio chanzo cha hayati kuwa Rais. Baada ya kumpiga spana za kutosha mkwele wa watu akaona awape wanachokitaka. Mama ameanza vizuri kwanza kwa kumkingia kifua mwenyekiti wao mpaka ameweza kurudi nchini, anawafungulia watu wao waliowekwa kizuizini enzi za hayati mmoja baada ya mwingine.

Wakati Huyu mama akijitahidi kujitenganisha na yaliyofanywa na mtangulizi wake, CHADEMA wanakuja na matamko/matendo yanayoonyesha hakuna tofauti kati ya hayati na mama.

Wananchi tulio wengi tunajua hamtupiganii sisi bali mnapigania nafasi zenu zilizochukuliwa kibabe last year and this will only happen kama mkienda nae taratibu vinginevyo mtatuponza wananchi.. Yaani badala ya huyu mama kushughulika na kero zetu ataanza kushughulika na nyie na mkishashughulikiwa mtaondoka nchini na kutuaacha tukipambana wenyewe.
 
Bro unapotumia ANDIKO la mtu uwe una cute..
MALISA GJ.

STOP PLAGARISM

Punguza wizi wa akili za watu, jishughulishe kujitafakarisha.

#YNWA
Hii ni fake ID! Umejuaje labda mimi ndo Malisa GJ??
Anyway, mods wame edit kichwa cha Uzi.
 
Hata nyakati za Ukoloni wajinga waliokuwa wanajipendekeza walikuwepo
 
Mama ambaye mnamletea jeuri asikilize nini sasa? Mwingine kwa kupenda kujimbafai eti anadai amepita katikati ya mitutu ya bunduki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Majukumu yao ni kusimamia shughuli za wakina mama?

Amandla...
Kazi yao ni kuwalinda Raia na mali zao, sasa huwa mnadesturi mkishalewa mnaanguka mnavunjika na kuwasingizia watu sasa polisi wanatakiwa wawe hapo kuhakikisha mambo yanaenda sawia, msije kulewa mkahatarisha amani za raia wengine.
 
Na wao BAWACHA kwanini wakatae polisi kuwemo ukumbini?

Haiingii akilini wewe unataka ufanye mambo yako kwa siri, halafu unalaumu kufuatiliwa siri zako. Hii ni nchi siyo dangulo la CHADEMA.
 
Unamfahamu Nyerere au unamsikia? Kwani akina Tintemeke na Kambona ilikuwaje?
 
Wewe binti muongo kweli, mitutu ya bunduki ni hao akinamama wanaomsalamia Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…