Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Ccm haijawahi kuwa mahala salama kiushindani
 
Mkuu kwa taarifa yako ni kwamba hapo hakuna kisichojulikana kwa mkuu wa nchi.

Huyo rpc,Ded,Dc na woote hao kwenye listi yako wanajua na wanatekeleza maagizo kutoka kwenye nguzo kuuu
 
mama anafeli kwa haraka sana
CCM Ni chama kioga na dhaifu Sana hapa duniani.
Hawajiamini,
Wanahofu,
Wanawivu,
Na akila aina ya mashaka.
Unawezaje kuwaogopa wanawake waliopendeza kiasi hicho wakiwa wananukia ma pafyumu hawana fimbo,mapanga,bastola,Bunduki,Wala mambonu ya kurusha kwa mkono.
Unawazuia hata wasinywe pombe Wala wasicheze hata mziki.
Aisee kazi tunayo.
 
Wewe jamaa hunaga hata pointi Wala akili,
Unaweza kuandika Aya ndeeefu halafu ujinga mtupu.
Hapa ndugu umeandika ujinga tu.
Mikusanyiko ya CCM,wakikusanyika CDM Ni hatari.
Wewe Jamaa wewe mtupu kabisa kichwani.
Hata kama mnataka kuwabana Chadema tumieni akili,hivi mnadharaulika.
 
Kama kuna mtu kakutukana unamshitaki yeye ni sio kunyima watu milioni 60 uhuru wao wa kukusanyika wapendavyo.

Hawezi kushitaki kwani amekosolewa na sio kutukanwa.
 
Mkipewa fursa, mnatukana mno, ata mm siwezi ruhusubujinga kama huo, Magu ndiyo alikuwa kiboko yenu.
Rip Magu
 
Asee, namna watendaji na viongozi wanavyorushiana mpira!!
Kila mmoja anaogopa kuharibu kazi yake.
 
Intelinjensia imara ya Jeshi la Polisi Tanzania haiwezi kuwaacha bila kuwasimamia. Hamna tofauti na magaidi.
 
Ooohooo mpiga nzumari wa "hamelini"....naona unademkia tu RAMLI zisizopo.....

Mama ni mkarimu mno....
Mkarimu wa kuvunja katiba?Unaelewa kuwa mikutano ya hadhara ya kisiasa aliyopiga marufuku ni haki ya kikatiba ya vyama vya siasa pamoja na wananchi?
Kwanza unaelewa tofauti ya executive na judiciary?Unaelewa kuwa akina mdude kuwa nje na hela za chadema kurudi ni masuala ya judiciary hayo ambayo hayahusiani kabisa na Rais?
 
Nyamaza huna hoja msomali wewe au unataka tukuanike mshenzi wewe?
Hivi wasomali wamekukosea nini? Hujui kuwa wasomali nao ni raia wa Tanzania ama umeamua kujitoa ufahamu. Kinaya kweli kweli,yaani unapigania haki huku ukiendeleza ubaguzi. Hakuna namna mama aendelee kuwaminya tu mpaka mtokwe na mavi. Wahafidhina nyie!!!
 
Mmmhh... Mbona wanaimba kwaya ya kanisani??
 
Polisi hawana kosa hapo.., wanatimiza kazi yao ya kuhakikisha amani na utulivu....
 
Jamani si anaupiga mwingi huyu? Yaani nchi hii hakuna mtetezi watu kila mtu analinda chake tu.....mama akiwapiga za uso sisiemu, upande mwingine unaona mama ni mpenda haki, akiwapa za uso wao,nawao wanaanzs kuponda 🤣🤣🤣
 
Jamani si anaupiga mwingi huyu? Yaani nchi hii hakuna mtetezi watu kila mtu analinda chake tu.....mama akiwapiga za uso sisiemu, upande mwingine unaona mama ni mpenda haki, akiwapa za uso wao,nawao wanaanzs kuponda 🤣🤣🤣
Hhahahhhhaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…