Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

Kwa vigezo gani mnatumia kusema hivyo?

Atashinda??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanin unasema hivyo?Unaijua kesho yako wewe?
 
Weeeh, lazima uchunguzi ufanyike.
1. Kina nani walimuua kamanda Alfonce Mawazo.
2. Wapi alipo Ben Saanane, Azory Gwanda.
Lazima kila jiwe ligeuzwe. Ukipatikana na kosa sheria ichukue mkondo wake.
Amesahau kwamba 'auae kwa upanga na yeye atakufa kwa upanga!
 
Anayoyafanya Jiwe..sio anayoyafanya Putin.

Kwaivo Umuhimu wa Lissu nchii hii nitofaut na umuhim wa Navanly .



Kumlinganisha Lissu na Navanly nimatumizi mabaya ya Akili.
 
Pumbavu kabisa hawa police, mnafanya mambo bila mipango, Nasikia Magufuli kawafokea, aliposhauriwa na mwanasheria mkuu, kuwa hawaki sahihi
 
Sirro Mungu amsaidie
Jamaa ana wakati mgumu ila atavuka kama akiwa na busara na hekima hizi
Wamefanya la maana. Wawaache wamalize Sisi wananchi tunajua la kufanya.
Tutamlipa kila mtu sawasawa na matendo yake
 
Mambosasa ni mtu reasonable. Hasingeandika barua hii bila kushurutishwa na IGP ambaye naye atakuwa ameshurutishwa na mteule wake.
Imekula kwao.
 
Hujasikia ratiba ya mgombea wako lisu anampandisha visukari tu bado kidogo atamwita lisu kumkabidhi inchi siku nane mapumziko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…