paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Kwa vigezo gani mnatumia kusema hivyo?
Atashinda??😂😂😂😂
Atashinda??😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin unasema hivyo?Unaijua kesho yako wewe?Ukiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.
Tundu Lissu anawabinuabinua anavyotakahapa tena CHADEMA watazomea[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu anataka kula nao sahani moja yani kama analiwa na yeye ale,Mwambie na huyu anaemchekeachekea beberuView attachment 1587912
Amesahau kwamba 'auae kwa upanga na yeye atakufa kwa upanga!Weeeh, lazima uchunguzi ufanyike.
1. Kina nani walimuua kamanda Alfonce Mawazo.
2. Wapi alipo Ben Saanane, Azory Gwanda.
Lazima kila jiwe ligeuzwe. Ukipatikana na kosa sheria ichukue mkondo wake.
AMENKwa kua washaanza kulegea wala hatutalipa kisasi kitu pekee tutataka Magufuli atubu dhambi zake kanisani inatosha.View attachment 1587900
Tundu Lissu anawabinuabinua anavyotaka
Kiswahili kimenipiga chenga hapa mkuu,naomba nipe maana ya neno "wakala"namaanisha wakala wake.
Utakuwa ulikuwa unamjibu mtu mwingine ukakosea!Naomba niamini hivyo!mwenye mpira ndiye anachagua nani na nani wacheze.
Anayoyafanya Jiwe..sio anayoyafanya Putin.Navalny alikuwa mpinga rushwa na mtaka taratibu zifuatwe...Lakini baadaye ikaja kugundulika yupo kwenye orodha ya wanaolipwa na " magenge ya wafadhili vurugu ndani ya nchi" ulimwenguni kote!!! Mara kama mbili iligundulika alipokea maagizo kutoka kwenye genge hilo!!! Navalny mwanzoni alionekana shujaa wa wapenda haki na mwenye 'Akili kubwa'. Navalny ni binadamu pia Lissu ni mtu!
Kiswahili kimenipiga chenga hapa mkuu,naomba nipe maana ya neno wakala
Mambosasa ni mtu reasonable. Hasingeandika barua hii bila kushurutishwa na IGP ambaye naye atakuwa ameshurutishwa na mteule wake."Kanda Maalum Ya Polisi Dar Es Salaam" inahusika vipi na uhalifu wa mkoa mwingine, swala la kosa aliloitiwa (Japo halijatajwa) Mh Tundu Lissu ni mkoa wa Mara na akatakiwa ku report Kilimanjaro. Mambosasa yanamhusu nini maswala ya mikoa mingine?.
Nchi yetu jeshi la polisi limekosa weredi kabisa, viongozi wanakurupuka na kujiamulia tu anachojisikia, hawajui "TERRITORIAL JURISDICTION/MAMLAKA YA KIENEO" yanakwenda vipi na yana nguvu gani kisheria na mipaka ya mamlaka hayo.
Mambosasa anatakiwa afanye kazi kulingana na "TERRITORIAL JURISDICTION" ya eneo lake, eneo lake na mamlaka aliopewa kisheria ni ya Kanda Maalum Ya Dar Es Salaam, hana mamlaka kisheria ya kuingilia maswala ya kikazi ya mikoa mingine. Aache kukurupuka kwani atalinajisi jeshi la polisi kuonekana halifuati sheria na mamlaka. Anapaswa arudishwe darasani na apelekwe kusoma upya sheria.
Barua ingekua imetokea "MAKAO MAKUU YA POLISI" raia tusingekua na pingamizi, na tungeiheshimu, kwasababu makao makuu ya polisi wana mamlaka ya mikoa yote kisheria. Ila barua inatoka "KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM". Kwa hilo watuache.
Acha lissu awanyooshe hawa vibwengo wenye vyeo vikubwa bila ya kuwa na elimu ya kukidhi matakwa ya kazi yao. Nchi inaendeshwa na kikundi cha watu wachache wanaojiamulia mambo bila kufuata sheria, wanatumia mamlaka na mabavu, ila sio sheria wala haki.
Au lasivyo wakiachiwa, kesho tutasikia Mhalifu amefanya kosa la Kubaka Morogoro halafu Jeshi La Polisi Mkoa Wa Kigoma limetoa barua ya kuachiliwa mara moja mhalifu huyo.
#KUFICHA AIBU, kesho utasikia Mambosasa anaongea na vyombo vya habari na kusema barua hio inayozunguka mitandaoni imeandikwa na watu "WASIOJULIKANA", wananchi tunaombwa tuipuuze.[emoji38][emoji16]
Hujasikia ratiba ya mgombea wako lisu anampandisha visukari tu bado kidogo atamwita lisu kumkabidhi inchi siku nane mapumzikoUkiingia JF waweza kudhani Lissu atashinda kuwa Raisi. Ukweli ni kwamba Lissu hatakaa awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Sio 2020 ni kamwe(NEVER), hatakaa awe Raisi wa nchi hii. Ila kikatiba mnaruhusiwa kujitekenya na kucheka wenyewe mitandaoni masaa 24(24/7). Tarehe moja mwezi ujao ndo mtaelewa ninachomaanisha hapa.