Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Za vijiwen sio
Unamaanisha kijitonyama? Wakati mimi niko jikoni. Jamaaa mishipa ya tigo imelegea and he can't reverse those analmuscles anymore. Yani aqyinyer hana brake ni muharo wa hatariii kwasabab ya ma dna ya akina siksi waliosimika


Jitu la hovyo kweli
 
anatoa tahadhari kwa wanaotaka aende jela, bibi yake yupo vizuri atampigania.
 
Hapa atasingiziwa makonda,ila sio yeye hawezi fanya kitu cha kipuuzi kama hiko.
Usisahau alivamia Clouds na mitutu kulazimisha taarifa za Gwajiboi ziende hewani
 
Umejuaje? Thibitisha.
 
Nina wasiwasi na wale GSM wajanja wajanja sana, wametengeneza tukio kuchezea akili za wasiojielewa katikati ya mgogoro wao na Makonda ili ionekane Makonda anahusika.
Huyo hata bima anaweza kuwa halipi kikamirifu! Itakula kwake!
 
Makonda siyo mtoto wa mjini. Alikuja mjini kusoma sasa watoto wa mjini wamemuinamisha wanamshughulikia
 
Nadhani katika hili wewe ndo unatumia matako kufikiri, kwasababu mpaka sasa hauwezi kuthibitisha ukweli wa hisia zako.
 
Unamaanisha kijitonyama? Wakati mimi niko jikoni. Jamaaa mishipa ya tigo imelegea and he can't reverse those analmuscles anymore. Yani aqyinyer hana brake ni muharo wa hatariii kwasabab ya ma dna ya akina siksi waliosimika


Jitu la hovyo kweli
Unasikini utakuua wewe😄.
 
Inaweza ikawa mwenye kiwanda amechoma mwenyewe hicho kiwanda...
 
Wewe
Wewe ni genious.

Inabidi watu wa bima wachunguze chanzo Cha ajali hii kwa kina na ikiwezekana Hawa watu wasilipwe.

Makonda ana maovu yake, lakini kwa hili, hapana.

Hawa tusipokua makini tunaweza jikuta Yale ya Akina Gupter family kule south Africa yanatukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…