UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Limeshafika tayari, hapo ndiyo mwisho wake: Alipe kodi yetu, au makontena yapigwe mnada. Hayo mambo ya kutumia 'majina' na vyeo kukwepa kodi hayana mashiko. Kwanza huo ni uhujumu wa uchumi.Dua halijafika bado
Kiherehere chako. Aliekuambia uchange nani? Sheria ni msumeno. Mnajiokotezea vitu vibovu huko mnaleta huku kwani ni dampo? Lipeni Kodi acheni kulia liaWanasema kuna maajabu ya dunia yanayopatikana katika nchi mbali mbali, ila Tanzania yenyewe ni ajabu miongoni Mwa maajabu,
Watu wanajitolea kukusanya vifaa kuwasaidia watanzania walioko katika shule zisizo na vifaa Alafu inafika bandarini eti viuzwe,??
Kama wanajali sana hela basi vinunuliwe na wizara ya elimu,
Tanzania ilivyonikatisha Tamaa mimi kuhusu michango ya kujitolea kuokoa majanga nadhani hata wengine wamekata tamaa,
Kuna rafiki yangu mtoto wa mtu mkubwa wa zamani anakaa Norwich nilipomtembelea juma lilee akanambia kuna vifaa vya hospital tuvikusanye tutume visaidie hospital za Tanzania, nisiwe mnafiki nilimjibu Tokea serikali imeleta zuruzunga kwenye Hela ya Tetemeko niliyochangia USD 400 nikidhani zitamfikia yule mama ambaye alitumika kukusanya Hela Mara matembezi masaki Mara changia bukoba, kumbe picha yake inatumika tu, sitakuja kuchangia Janga lolote Tanzania, acha wenye za kuchezea wachange,
Sasa Leo huyo jamaa yangu baada ya kusikia makontena ya makonda ya msaada yamezuiliwa ili yauzwe kanipigia moja kwa moja kwamba ulisema kweli, nami sivikusanyi
Mnakatisha wanaojitolea tamaa,
Ni bora ukatumia hela yako kuinua familia yako kuliko kuchangia Majanga ambayo serikali haithamini mchango wako,
Britanica
Ndio umeandiika nini? Makonda ndio mwenye uchungu na maendeleo ya Dar?. Unatukosea heshima mno, huyu kijana hana nidhamu ya uongozi! Mikwamo ishaanza na bado, umri wake bado mdogo sana ametengeneza kitu kibaya sana huko tuendako. Kimsingi procedure ilipaswa aulize kabla ya mzigp kupakiwa, alifanya maksudi akidhani jina lake likiwepo itakuwa rahisi kusamehewa kodi...., kumbe misamaha ya kodi iko kisheria. Anaendelea kulalamika as if anaonewa yeye nani? Mbona ambulance za wabunge tuliona zinapigwa kodi?. Ni kijana aliyepewa nafasi kashindwa kuitumia kwa nidhamu. Kampaka sana matope aliyemchagua pasipo kujua.sasa naona kastuka. Hutakiwi kumwamini Rais, Rais anatakiwa kukuamini, hamshei urais wake hata kama anakupenda vipi!Uungwana ni vitendo...Majuto ni mjukuu!!!!
Kumekuwepo na sakata la muda ninaoweza kusema ni mrefu juu ya uingizwaji wa makontena yenye vifaa mbalimbali vya kusaidia maendeleo jijini Dar.
Nampongeza mkuu wa mkoa kwa initiative zake kwa ajili ya kuhakikisha jiji la Dar linaboreka.
Hakuna doubt kwamba katika awamu hii mambo yote ni lazima yafuate taratibu zilizopo bila kujali ni mambo ya namna gani au ni ya nani.
Sakata la haya makontena limeanza kitambo sana ....limegusa wengi na mengi lakini kwa umuhimu limekugusa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni hardworking na inovative na influential.
Kwa sasa inaonekana kuna mkwamo kuhusu procedures vs intention za kuingizwa kwa Makontena haya.
Kwa sasa najionea 'stance' kati ya mamlaka za Serikali zinazotakiwa kufanya kazi kwa umoja....yaani breach of collective responsibilities!
Kuondoa utata,mkwamo na matokeo mabaya ni muhimu kufanya majadiliano ya kina na kuombana/kupeana misamaha ili mambo yasonge mbele kwa mustakabali wa wanaDAR na Taifa kwa ujumla.
Mheshimiwa RC nenda TRA ukaoombe msamaha ikibidi au kuweka sawa procedures ili kufikia suluhisho.
CIAO!!
"Hii series hii inaonyesha magu kashamchoka Bashite na ndio maana wateuliwa wa magu hawatishiki kwa sasa, na napata uhakika sasa kuwa ni kweli Bashite akili zake hazipo sawasawa maana mara ya kwanza aliyakana hayo makontena kuwa sio yake akaja tena akisema kuwa ni yake na anaomba msamaha wa kodi na sasa anawalaani wanaoyapiga mnada wakati ni yeye mwenyewe mwazo aliyakana kuwa sio yake
Alafu ukimkuta kule insta anavyopost mambo ya kilokole huwezi mshtukia kuwa ni shetani mkubwa huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri mzima katoka dodoma,kaja Dar kuyashindilia makontena yapigwe mnada.Nakubaliana kabisa na Wewe! Haiwezekani Mhe. Waziri uende hadharani ukapingane na RC kwa kurejerea magazeti. Hii ni laana! RC yeye kaongea na anayemwamini Kanisani na kaomba kwa atakayenunua alaaniwe na sio Serikali ilaaniwe. Sasa nini kilichomtuma Waziri kulumbana? Ama kweli naamini Vita ya Dawa za kulevya alivyoanzisha RC ni vikubwa.
Acha utoto weweMakonda fahamu kuwa Dr. mpango siyo mwigulu au ummy mwalimu ambao ulikuwa unawaingilia majukumu yao! Nasubili laana
Acha porojo wewe punguani,chuki gani hiyo? Ndiyo ninyi mnao promote sheria ziwe na macho ! Sheria ni msumenoAcha utoto wewe
Huyo mpango kaacha ofisi dodoma kaenda bandarini kushindilia container za Makonda tu?Basi hata kutumia ziara hiyo kuamuru na mizigo mingine yote inadiwe,lakini kwa kua anaongozwa kwa chuki mizigo mingine kwake si lolote hata ikikaa miaka 10
Hilo limeshafanyika kazi ipo kwa mpangoMheshimiwa RC nenda TRA ukaoombe msamaha ikibidi au kuweka sawa procedures ili kufikia suluhisho.
Mimi ni mpenzi wa somo la sheria,sishabikii sheria kupindishwaAcha porojo wewe punguani,chuki gani hiyo? Ndiyo ninyi mnao promote sheria ziwe na macho ! Sheria ni msumeno
Sent using Jamii Forums mobile app
Na me najiulizaAlisema atawashitaki TRA kwa baba yake kumbe bado.
unaijua vizuri sheria ya kodi wewe au unabwabwaja tuSheria si mnatunga wenyewe na kuzipitisha kwa kusema ndioooo!!Sasa hapo unashangaa nini?!
Alafu jiulize ni kwanini mwanzoni aliakana alafu baadae akayakubali?
We jua tu hilo ni dili limebumbuluka.
Ilivyokuwa Makonda alienda kwenye nyombo vya habari akaomba watu wa nje tutume vifaa alisema kwenye media sio hata siri na akasema lini vitafika watu wa pale Washington state walijua vifaa vinaenda kusaidia watoto na mkuu wa mkoa aliomba viwe kwa jina lake ili asaidie sehemu ambayo haina vifaa lakini kosa lake lisije ku cost watoto wangemtafuta mtumaji ambaye ni Mtanzania ! Kabla ya mnada na angeweza kubadilisha jina