Obvious Wazir yuko sawa. Sasa mkwara mbuzi wa makonda utasaidia nini? Dawa ya moto ni moto. Makonda aheshimu shariaMkuu vipi kwa mtazamo wako hapo nani yupo sahihi? Makonda au waziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa chadema tu ndiko kwenye watu wenye uelewa wa kugundua haya ni maigizo na yasiyo maigizo tofauti na walioko ccmMambo ni moto...Chadema watasema wanafanya maigizo
Sasa si anatekeleza maagizo ya mkuu wake ya kukusanya kodi inavyotakiwa?Mpango hajipendi anamchokoza mtoto mpendwa yasije yakamkuta ya Nape.
Acha wafu wazikane
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uloziKama kungekuwa na laana, Bashite asingekuwepo juu ya uso wa dunia mpaka sasa.
Wewe tulisha kudisMambo ni moto...Chadema watasema wanafanya maigizo
Hirizi yake ime expireWaziri mpango haogopi vitisho vya naibu? Leo Makonda anatamani mama Samia atie neno!
Jiwe ni nani? Mpango?#MwananchiNukuu Wengine hugawa watu katika mafungu. Mtu fulani akifanya kosa hata liwe kubwa, hasemwi lakini mwingine akifanya kosa japo dogo hukuzwa likawa kama Mlima Kilimanjaro" Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere #MwananchiLeo
Sasa huyu bashite kafanya bonge la kosa lakini baba yake anamlinda tu hapo ndo utajua jiwe alivyombaguzi.
Kwao lumumba cdm ndio wapinzani wakwelikwahiyo unataka kutuaminisha kuwa chadema tu ndiko kwenye watu wenye uelewa wa kugundua haya ni maigizo na yasiyo maigizo tofauti na walioko ccm
Duh kumbe ndio kazi ya kipara kipya kwa !
Hivi kama ni maigizo, yanamfaidisha nani?kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa chadema tu ndiko kwenye watu wenye uelewa wa kugundua haya ni maigizo na yasiyo maigizo tofauti na walioko ccm
Ninakumbuka maneno ya Gwajima alisema amerusha kombora na litafika tu kwa kiumbe yule mwenye jina la manyigu kwa Kinyakyusa.
Mkuu hiyo ndiyo kazi yake maana tunamjuaDuh kumbe ndio kazi ya kipara kipya kwa !
ila mkuu ilo kombora nila uzito mkubwa sana tumia magurunet tu yana mtosha!
Usisahau pia na albadiri imeshaanza kufanya yakeNinakumbuka maneno ya Gwajima alisema amerusha kombora na litafika tu kwa kiumbe yule mwenye kina la manyigu kwa Kinyakyusa
Wanazingua tu ni movi wanatufanyia ili serikali ionekane inatenda haki kwa watu wote lkini in fact hayo makontena hayatanunuliwa na atakayenunua ni mtu maalum aliyepangwa kwa kiini macho tu.
series bado haijakamilika mkuu kunakipande wanaunganisha wapo studio huko nchini Nigeria!Hivi nyumba za Lugumi zilishauzwa zote?