Mdee ametuangusha sana sisi wapare. Sisi. Sio watu wa kungangania vitu kwa sababu ya pesa . Angeweza kufungua law firm yake, consulting company yake au kufanya kwenye kampuni nyingine za kimataifa badala ya kutegemea posho ndogo za wabunge na kugushi vitu! Aibu sana. Mbowe alimwambia haya. Sasa wakati mwingine hawa watoto wa walimu wanakuwa nao slow sana🤔
Nategemea mapema kesho asubuhi saa tatu na dakika zake Spika Tulia atawaondoa hao wanawake bungeni, nahisi wengine hawatakwenda kesho bungeni.
kwangu inabaki kama tetesi tu kwa sababu sio mjumbe niliyeenda ikulu. Kama wamekubaliana hivyo kweli ni vizuriKwahiyo unajitia upofu kwamba hujui kwa nini Rais amekaa na kuongea na Freeman Mbowe na baaadaye kukutana na ujumbe wa Chadema Ikulu?
Unahitaji degree kulijuwa hili pia?
Chadema watachagua wabunge wengine wa viti maalumu.Haya Maamuzi pia yamesababisha CCM ikubali Maridhiano maana Bungeni hakutakuwa na Wabunge wa upinzani.
Pascal Mayalla usifanye hivyo kaka sema neno plz una like tu😆Pascal Mayalla naona unatoa likes tu sema neno Ngosha
Wakwae th kisiki
🤣🤣🤣Pasko mabosi wako wametolewa nishai huku njoo fasta uokoe jahazi
Hiyo na. Mimi ilinikost sana hadi Najuta unatoka kusomea Law unarukia kwenye mambo mengine bila ku practices ulichosomea lazima usahauHajawahi kupractice hayo mambo ya law. Alimaliza chuo na kurukia siasa. Hayo mambo ya sheria alishasahau maana ni zaidi ya miaka 15 iliyopita. Akiingia kwenye sheria atakuwa incompetent.
Hiyo na. Mimi ilinikost sana hadi Najuta unatoka kusomea Law unarukia kwenye mambo mengine bila ku practices ulichosomea lazima usahau
Usitukandie hivyo mkuu, tamaa tu ya mambo mengineKabisa mkuu, Halima hakumbuki chochote kwenye sheria zaidi ya kujisifia kuwa ana degree ya sheria. Na hapo alipo anaogopa hata kuomba kazi kwenye law firm maana anajua ataumbuka. Huko nje Mbowe alikomuombea kwa vyovyote Mdee angegoma maana hana uwezo tena zaidi ya kupiga porojo kwenye majukwaa ya siasa na bungeni.
Huyu Halima Mdee namafananisha na member mkongwe huku jf Paskali Mayalla, zaidi ya kujisifia kuwa ana degree ya sheria, hajawahi kufanya hiyo kazi popote zaidi ya kupiga porojo huku mtaani. Na sasa hivi ukisema aende mahakamani ataishia kuwa kituko.
Katibu mkuu ndo anapereka mkeka BungeniNaamini ile mikutano ya Rais Samia na Mwenyekiti Mbowe, na baadae CCM na Chadema ndio imepelekea kufikia kutupiliwa mbali kwa kesi ya kina Mdee.
Naamini kabisa kuna majina mengine tayari serekali inayo toka kwa viongozi wa Chadema. Shaka yangu kwa mujibu wa taratibu kuna chombo ndani ya xhama ambaxho kinapitiaha haya majina. Kama sio kamati kuu, basi ni baraza kuu. Ila hatujasikia wamekaa na wamekutana.
Nasubiria upande wa pili. Bunge, najua walishapewa barua toka chadema za kuwafukuza kina mdee.
Hiyo ni kweli kabisa. Taarifa za ndani ya Chadema zinasema, baada ya akina Halima Mdee na wenzake 18 anafuata Mchungaji Msigwa kufukuzwa chamani. Watabaki wanafukuzana hadi 2025, halafu baada ya uchaguzi utawasikia eti wameibiwa kura!Chadema baada ya kumaliza kumtukana Magufuli wamegeukana wao kwa wao, laana inawatafuna
Lijuakali , Nassary , Silnde na wasaliti wengine jiandaeni
Chadema itawapeleka wengineHukumu tayari kwani serikali haiwezi kukubali kuwapoteza wabunge hao kutokana na hitaji la kikatiba la Kamati za Bunge.