Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Kila kitu alichotia mkono Ndugai kitaporomoka tu.
 
Wanawahadaa wafadhili
Hawawezi kuwahadaa kirahisi namna hiyo. Kitakachofuata ni kwamba serikali itabidi irejeshe kile kiwango cha mchango wa nchi husika zinazotoa kwa ajili ya ku-support demokrasia katika nchi maskini. Lakini kuna uwezekano kwa sasa kuliongelea na kulilainisha baada ya mabadiliko yaliyotokea.
 
1. CCM imeridhia mchakato wa KATIBA mpya uanze.

2.Mahakama imetupilia mbali pingamizi la wabunge feki 19.

3. Treni imepata ajali na kuanguka na kuua watu zaidi ya Saba, TRC wadai ni HUJUMA.

Ipi hapo ni habari Hasa.?

Tushangilie bila kujisahau. Hujuma kivp? Tuchimbe zaidi. Amen
 
Nchi inafunguka, hofu inazidi kutoweka miongoni mwa waliopewa dhamana ya kuamua kwa haki.

Maana wengi walikuwa na khofu ya kutoa maamuzi ambayo yangemuudhi aliyewateua kushika nyadhifa hizo kubwa na nyetu ktk ofisi za umma au mihili inayojitegemea.

Tusimalize maneno jaman
 
Jaji Siyami si ndiye Jaji m mchongo mwandamizi aliyehongwa cheo baada ya kuwafsnyia mtimanyongo kina Mbowe?
 
Inaweza ikawa spinning ndani ya spinning!!

HALAFU SIJUI nani mkweli coz watu wa karibu na eneo husika wanasema pale pale watu kama 280 wamepoteza Maisha!

Nashangaa huyo anasema saba!!!

Kama kuna watu wa malongwe humu watuambie UKWELI!!
 
Pia oparesheni ya ngoro ngoro imetangazwa rasmi! spinning ndani ya spinning
 
Mnapomtaja Pasco kama Mwanasheria huwa nasikitika Sana.
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…