Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Dar: Mashehe washauri wanaomkashfu mitandaoni ‘Nabii Mkuu’, Dkt. Geor Davie wa Gurumo ya Upako, kumfata Arusha kwa nauli yao

Mbwa mwitu huwajua mbwa mwitu wenzao hata kama manyoya yao yana rangi tofauti.
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.

Sishangai kwa kuwa njaa ni kali sana.
 
Kuna haja ya kujipambana ili uwe fresh kiuchumi,,,ili kuepuka tabia Kama Hizi.. Hawa Ni chawa walio ndani ya kanzu..
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.
Yangu macho Tu... Yaan Nabii anapigiwa Debe na masheikh? Ajabu kubwa hii njaa mbaya sana
 
Hapo hamna shehe hata mmoja, wote hao watoto wa mjini , ambao walipata nafasi kupita madrasa. Mjini watu hawana habari ukijichanganya watu wanakupiga pesa.
 
Ushehe wao ni kuvaa kanzu, hizi njaa sasa ni mbaya sana, mashehe wa Dar es salam.
 
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.

Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.

Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.

Wasikilize hapa.

wandg njaa mbaya sana kwakweli.
 
Ni nyakati za mwisho, hapo hakuna nabii, ni maujanja tu katika ulimwengu wa roho. Alishajua maisha ni mchezo, anacheza kinabii.
 
Hahaha hao wanafata mpunga tu

Washamulia huyo nabii ukimsifia tu

Unakutana na bahasha,na hao masheh wanaweza rudi na noah gari
[emoji1]

Ova
Itapendeza pia wakiweka wazi mpunga waliopewa ni, ngapi
 
Huyu nabii katumwa na aliyekutana naye physical, hao mashehe ni uthibitisho wa nabii kutokewa na aliyemtuma so kazi inasonga mbele
 
Attachments

  • 1667202777931.jpg
    1667202777931.jpg
    30.7 KB · Views: 3
Sio tu kwamba hakuna mashekh wahivyo Bali hao si katika waislam tena maadam wanaitakidi hivyo unless washaadie kwa Mara nyingine kwa ikhlaswi kutoka katika vifua vyao kadhalika kuleta tawba....Allahu aghlam wabillah tawfiq
Jamii yetu ya kiislamu inahitaji kuelimishwa dini, watu wanatakiwa waisome aqida yao waifahamu vizuri.

Wengi hawafahamu mambo ambayo yanamtoa mtu katika Uislamu, hivyo mtu anaweza kusema/kutenda jambo ambalo linamtoa katika Uislamu ilhali yeye wala hajitambui.

Ujinga wa hawa ndugu zetu waliotoa hii clip upo wazi kabisa, yaani wanatamka maneno ya kufru huku wakijiita waislamu, huu ni ujinga ulioje!

Allah awaongoze.
 
Ninavyojua mimi hao mashekhe kama walikuwa wanaswalia msikitini,kuanzia siku waliyotoa hilo tamko wataanza kuswalia nyumbani,sababu nafsi zao zitawasuta kuchanganyikana na waisilamu wa kweli
 
Back
Top Bottom