Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Mbwa mwitu huwajua mbwa mwitu wenzao hata kama manyoya yao yana rangi tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.
Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.
Wasikilize hapa.
Ni kweli Ma-Sheikh Ubwabwa hawa wanafuatta maslahi ya Pesa wanajuwa wakimuunga mkono huyo Nabii feki watapata pesa ninakuunga mkono ni kweli Ma-Sheikh Ubwabwa hawa.Tunawaita mashehe ubwabwa kwa jina lingne
We wasemaKwani lazima kuoa??
#MaendeleoHayanaChama
Yangu macho Tu... Yaan Nabii anapigiwa Debe na masheikh? Ajabu kubwa hii njaa mbaya sanaMamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.
Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.
Wasikilize hapa.
He, mamia tena!Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako.
Mamia ya masheikh wamelaani watu wote wanamkashfu Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr. Geor Davie wa Ngurumo ya Upako. Mashehe hao wanasema Nabii mkuu ni nabii wa kweli, nabii anaewapenda watu wote na anaewajali watu wote.
Mashehe hao wameitaja JamiiForums kuwa watu wanamtungia uzushi Nabii kwa kumuandika mambo ya uongo wakati Nabii mkuu hana tatizo lolote.
Mashehe hao wanasema wanamsubiri kwa hamu na wanamkaribisha kwa mikono miwili Nabii mkuu kwa mkoa wa Dar es Salaam aje kutoa huduma ya uponyaji na ukombozi.
Wasikilize hapa.
Itapendeza pia wakiweka wazi mpunga waliopewa ni, ngapiHahaha hao wanafata mpunga tu
Washamulia huyo nabii ukimsifia tu
Unakutana na bahasha,na hao masheh wanaweza rudi na noah gari
[emoji1]
Ova
Jamii yetu ya kiislamu inahitaji kuelimishwa dini, watu wanatakiwa waisome aqida yao waifahamu vizuri.Sio tu kwamba hakuna mashekh wahivyo Bali hao si katika waislam tena maadam wanaitakidi hivyo unless washaadie kwa Mara nyingine kwa ikhlaswi kutoka katika vifua vyao kadhalika kuleta tawba....Allahu aghlam wabillah tawfiq
Nimechekaje!! Watu walikuwa sita, leo tunaambiwa ni mamia!!!He, mamia tena!
Hadi wwe umejumuishwa kwenye hao Mashekh ,kazi ipo!!He, mamia tena!
Cha kusikitisha sizoni zenyewe zote mbayaaaaHii nchi kila uchwao season mpya