Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
kwani ilikuaje?
Watu wananunua chuma kwa ajili ya kujilinda wao kwanza! Popote ulipo nayo iwepo japo kwa kificho..Kwenda na bastola baa tena jirani na kwako kila mtu anakufahamu ni kaushamba flani hivi wabantu tunako,nafikiri inachangiwa na fantasy ya baadhi watu kupenda kuhusishwa na uTISS.Moto ni wa kulinda usalama wako na mali siyo bia.
Okay,Tukio likishatokea watu wataongea mengi sana na ya kuzusha pia. Jamaa hakuwa mbabe kabisa alikuwa mpole na muoga wa vurugu. Nilisoma nae Old Moshi 97-2000. Alikuwa mchakarikaji wa maisha na mpenda gambe. Pengine ukubwani alikuwa na stress za maisha ambazo zilimbadilisha tabia.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Yani nimecheka kifala, daaaNi Bar ya Machalii wa Araa/Madalali na Mission Town wa Dar ... UJINGA MWINGI MNO... Watu waliokuwa wanaitwa VIFARU,MWAMBA,MNYAMA wa enzi za Mererani,Azam,Longroom wakafulia hapo ukaa na KULAUMU KILA KITU Serikali,Upinzani,Covid,Rais aliyepo,Wabunge,Mzunguko wa hela... USIOMBE UENDE HAPO ukienda na Laki ukazungusha Round 2 kwenye meza ya watu wa5 Watapigiana simu watajaa hapo wahakikishe imeisha...
Ndiyo hilo la ujivuni na ujuaji alikuwa nalo ila alikuwa muoga, sikuwahi kushuhudia au hata kusikia yeye kuanzisha fight au hata kushiriki. Labda huo uoga wake ndio uliomfanya atafute kitu cha kumpa confidence. Ila pia alikuwa yupo exposed hivyo ni kweli alikuwa anafamu issues nyingi. Ametembea sana.Okay,
Basi raia wenzako mliosoma wote OldMoshi wengi wanasema jamaa alikuwa mjivuni na asiyependwa kushindwa hata kwenye ubishani wa kawaida tu
Ndiyo hilo la ujivuni na ujuaji alikuwa nalo ila alikuwa muoga, sikuwahi kushuhudia au hata kusikia yeye kuanzisha fight au hata kushiriki. Labda huo uoga wake ndio uliomfanya atafute kitu cha kumpa confidence.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119] nawaza kama hiyo fedha ilikatwa Kodi ya uzalendoMwingine kamtapeli waziri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inawezekana mziba pancha ni afsa wa serkaliMmmh!!!
Rpc anasema afisa mmoja wa serikali alimkanya asitoe silaha ovyo.. mara mziba pancha amepigwa risasi sasa lipi ni lipi? Huyo afisa wa Serikali aliyetajwa na Rpc ndiye mziba pancha?
Basi hapo ni SEGEREA sio KINYEREZI...Weekend hii usije njoo weekend ijayo kuanzia ijumaa ,Hadi jumamosi
Iko ukivuka Airport njia ya kwenda gongolambo unakunja kushoto jiapanda segerea unanyoosha mwemdo kama wa dakika 4 ukilipita daraja dakika 3 unafika mwembeni upande wa kushoto ndiyo ipo THE ANDROID
Segerea ipi ili uinuse segerea lazima ufíke mbuyuni sasa mbuyuni hufikiBasi hapo ni SEGEREA sio KINYEREZI...
1TIMOTHEO 5:23 MHUBIRI 9:71 Kor 6:9-11 SUV
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
Sio mimi ni biblia.
Come on jaman. Thats too harsh[emoji26] usiseme hv. Ndugu yako hta akawa kichaa ni nduguyo tu.Kaka yako Farara sana. Na wewe ukapime akili
Basi tuseme ni Mongo la Ndege iliyochangamka.Segerea ipi ili uinuse segerea lazima ufíke mbuyuni sasa mbuyuni hufiki
Mongolandege ukiifika darajani una kunja kushoto the android ukifika darajani unanyookaBasi tuseme ni Mongo la Ndege iliyochangamka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walevi tu hao hakuna cha mapenzi wala nini, labda kama ni mapenzi yatakuwa ya kumgombea baamedi