Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

 
Hebu ngoja kwanza, ulikunywa vitu hivyo vyote kwa muda gani? Yaani ulianza mida gani na kwa kukadiria ulimaliza mida gani?

Kuna harufu ya chai [emoji848]
Kuanzia saa 6 mchana, majanga nikaja pata saa 5 usiku
 
Ok Oraa alikuwa na mwanae jina jenero na mdogo wake jina sikumbuki ni true au nimekosea?
 
Kikao kipo hapo mwika wakuu na mm nipo kwenye kikao kama una swali serious kuhusu marehemu unaweza niuliza ni best friend wangu na mm ni member wa hiyo lemax..mengi mnayoyaongea sio kweli ni hearsay...ila mengine kweli
Sawa...
Mwisho wa siku ni alikuwa amelewa
Akapishana kauli na wenzie,zisizo kuwa
Na mbele wala nyuma akawatandika risasi
Yeye mwenyewe akajitandika!
Mambo ya mtungi + anajua mwenyewe nini kilikuwa kinamsumbua

Ova
 
Kama unajua msiba upo/utakuwa wapi naomba nijulishe. Kuna bro wake mmoja alisoma Ilboru way back alikuwa mtu mmoja cool sana, anajua vitu vingi in details. Nimepotezana nae muda mrefu, I hope atakuwepo msibani.
Walisema kikao kitakaa mwika jioni ya leo ila sina uhakika kama wameshamaliza issues za kipolisi.
 
Nadhani si kila mtu wa kupatiwa umiliki wa Bunduki.

Ni kwamba mtu anapoenda kuhitaji silaha ya kujilinda (bastola) tayari huyo mtu

kashakidhi vigezo vyote vyakuita laki 1 (kijisent) sasa ndugu yangu mtu ambae laki 1

ni kijisent unafkiri kuna wakumnyima silaha akiamua enda iomba? tena kwa kufata utaratbu?

maana ana uwezo wakuipata hiyo silaha kwa magendo,ila hajataka iwe hivyo akaamua afate utaratbu

unafkiri watoa vibali wakibustiwa na vijisent vya jamaa watakua na ubavu wakunyima/kuzuia vibali kwa muombaji?

Penye pesa hakishindikani kitu serikali yenyewe inahtaji pesa,sembuse huyo mtoa kibali cha kumiliki bastola?

Tufundishane tu na kufundisha watu wote kuwa unapoona unaeongea nae kakuzidi kila kitu Bila kujali ana bastola au hana, jiweke mbali nae maana ulimi wako wa neno 1 tu unaweza sababisha uka acha TITLE kwenye vyombo vyote vya habari.

Wenye pesa hasa watumia vileo sio watuwakukaa nao karibu kbsa, Ni mashetani yanayotembea nchi kavu ukiyavuruga yanakuvuruga kila kitu.
 
Abdi Hussein ....Alex James Koroso. One man down.
 
Sahv kwenye ma bar kuna upuuz mwingi
Kuna watu akili zao haziko sawa ukijumlisha
Na kileo basi ni shida,kama ana silaha lolote lile linaweza tokea

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…